Hello wana bodi.
Ni long taim since nimepost inshu hum ndani, sasa jamani nina iphone yangu nilikuwa nataka ku sync ikatokea kuwa all music imetoka kwa iphone ila ipo katika backup, sasa suala ni...
If you need any ICT Consultation, please call me 0788 444411, I will do it for free, but if you will be convinced, I will charge you for further consultations, I do consultation in the following...
Kumekuwa na mifumo mbalimbali ya Biashara kwa njia ya mtandao ambayo watu wanaweza kufanya bila kuwekeza pesa nyingi zaidi ya muda na ujuzi kidogo wa baadhi ya vitu vidogo vidogo .
Kuna Adsense...
Windows 8
A roadmap timeline slide shown by Microsoft at the 2009 Professional Developers Conference shows that a product code-named Windows 8 is scheduled to be released sometime between 2011...
Wana JF, kuuliza si ujinga ndugu zangu. Naomba mnisaidie, nini maana ya FACEBOOK na inatumikaje? Nimekuwa nikisikia terminology hii kila kukicha na kila niulizpo watu, wengi nona kwao inakuwa...
Wana Jamvi naomba mnisaidie mwenye kujua zinakopatikana GPS machine ambazo sio complicated.Nahitaji pia bei.
Nataka zinazoonyesha,latitude,longtude na elavation.
Bwana Jerry Bryant ambaye anatambulishwa kama Group Manager, Response Communications wa Trustworthy Computing Group anataarifa za kiusalama kwa watumiaji wa IE tajwa, msome hapa TechNet Blogs
Kwa...
Salaam, mwezi uliopita nilikuwa na download picha kuingia kwenye laptop yangu. Wakati ina download, nilipata meseji kwamba hard disk imejaa hivyo ni run 'disk clean up'. Nili run hiyo na nikapata...
Wadau nina tatizo moja, kuna files(audio files) nilizichukua kutoka computer fulani, sasa kufungua flash naona zinaonekana kama shortcuts ambayo haitambuliki kwa hiyo files haziwezi kuwa accessed...
Thanks for having this good opportunity to be here , with you , this is my 1st time and hope we will share a lot with you, and particularly in this part of technoloty.
naomba minikaribishe.
below...
Ongera sana TTCL kwa kuleta EV-DO, Lakini cha kusikitisha ni gharama zenu maana nyinyi mlidai mmejiunga na mkonga,
TTCL mobile internet tariffs
You get charged based on data consumption (uploads...
Exam 70-290: Managing and Maintaining a Windows Server 2003 Environment
The Microsoft Certified Systems Administrator (MCSA) on Windows Server 2003 credential is intended for IT professionals who...
From Tecnlogical point of view tujadili
Mchango
mapungufu
udhaifu
faida /hasara
SWOT( Strenght, Weakness. Opportunity) ya ICT vilivyotumika
Kuna baadhi ya process kama kupiga kura na...
Test 000-087: IBM System x Technical Expert V6
Exam Number/Code: 000-087
Exam Name: IBM System x Technical Expert V6
Questions and Answers: 100Q&As
Updated: 27-10-2010
000-087 exam...
Wakuu....
Laptop yangu ilikuja na window vista, ila ilikuwa haitaki ku-install baadhi ya programs zangu muhimu za shule, kwa hiyo kuna mtaalamu mmoja akaniwekea window xp hivyo kufanya computer...
Helo wanaJF,
Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa meseji za mtandao wa push kwenye simu ya Vodacom au hata zingine, maana zinaniletea kero. Utakuta wakati fulani unajaza vocha ya sh.500 kwa mfano...