Mchango wa ICT uchaguzi wa 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wa ICT uchaguzi wa 2010

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Nov 3, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  From Tecnlogical point of view tujadili

  • Mchango
  • mapungufu
  • udhaifu
  • faida /hasara
  • SWOT( Strenght, Weakness. Opportunity) ya ICT vilivyotumika
  Kuna baadhi ya process kama kupiga kura na kuhesabu ni manual. Itakuwa vizuri tukijailia mchango wa computer processes katika system nzima

  • vifaa aina gani na model gani (hardware) vya ki IT( scanner, Kompyuta,etc ) vinatumiwa. na nini hasa ilikuwa kazi ya vifaa hivi
  • Je kuna software yeyote NEC walitumia.imetengezwa na kampuni gani ( Eg Ms Exel, etc.)Nini hasa ni kazi ya software husika?
  • Operators- Je operators wa hivi vifaa na hiz software kama data entry walipata practical training ya muda gani.

  Nawasilisha kwa mjadala

  NB:
  Itapendeza watu wakiweka siasa pembeni tukajadili from IS/ICT point of view
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Asante kwa kuwakilisha hili. Sidhani kama ICT imesaidia sana, mengi hayajabadilika.

  1. Matokeo yamechelewa
  2. Hiyo system yao najua haipo centralised, kila station iko peke

  Nimeangalia tovuti ya NEC hawaja taja hizo details, ila kutokana na kampuni iliyo-design hiyo web yao (i.e. DataVision International (T) Ltd.) nina kila sababu ya kuamini kuwa wao pia ndo waliofanya kazi ya kutengeneza hiyo package ya software iliyotumika. (Hebu kagua hizi zabuni hapa The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage )

  Kama niliangalia vizuri kwenye TV hasa pale walipokuwa wanaonesha ndani ya ule ukumbi wa Loyola Sec, laptop zile ni hizi hizi za kawaida (HP nadhani)
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa hii ICT hapa haijasaidia . Hii kwa NEC ni Mfano mdogo to wa IT projects nyingi tulizonazo.

  Mchangamanuo au upembuzi yakinifu na hatua za System Development hazifuatwi. Sijui JF crew kama wanaweza kutusaidi kufuatilia kujua aina ya vifaa vya ICT vilivyokuwa vinatumia na Role yake.

  We need to analyse and discuss the processes.
   
 4. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Ict ndo ilikuwa sababu ya uchakachuaji maana kila walipoulizwa kwanini mnachelewa kutangaza matokeo eti wao wanasema ni kwa sababu ya mfumo mpya wa ict. Mi naona hii ni changamoto kwa wana ict kutoa mapendekezo juu ya nini kifanyika kwenye chaguzi zijazo ili nayo iweze kutoa mchango wake.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Upande wa vyombo vya habari BBC walitumia huduma ya Ustream.tv watanzania au watu walikuwa na huduma ya mtandao waliweza kufuatilia. channel waliyotumia ni http://www.ustream.tv/channel/bbc-swahili.

  Kwa mujibu wa mratibu tulichat naye na watu wengine alisema mwanzo hakuamin kama tanzania ilikuwa miundombinu ya internet wa kuweza kuwezesha huduma hiyo. Alishangazwa na kasi na uwezo.

  Jamaa wa bongo radio wao walitumia teknlojia ya ICT kuhabarisha watanzanai wanaotumia tovuti kusikiliza matangazo ya uchaguzi ya ITV.

  Sasa changamoto kwa nini vyombo vyetu kama hasa TBC havioni wala kutumia fursa /opportunities za ICT kuweza kuwafikia watu wengi zaidi hasa wa nje.?

  Mitandao kama Ustrea.tv, justin.tv ni ya bure Taasisi kama TBC haiwezi kushindwa gharama za wa bandiwidth za kupload na ku dowload japo sauti tu bila picha.
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kulingana na maelezo ya wasimamizi wa vituo kwamba matokeo yalichelewa sababu ya ICT, pia maelezo ya baadhi ya wakuu wa NEC utaona walikubali kwamba kulikuwa na matatizo katika system hivyo kusababisha matokeo kuchelewa. inaonekana kuna matatizo kwa mwaka huu sababu ya ICT.
  wanatakiwa kuchambua kujua chanzo ni nini, je ni mtandao, watumiaji au nini ili kurekebisha tatizo kabla ya ya 2015. Kwa asilimia mia ICT inatakiwa kuleta ufanisi wa hali ya juu pale wanapoitumia
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nina mashaka sana na wataalam wa ICT kwenye serikali yetu.
  wasiwasi wangu unakuja pale ambapo mara nyingi idara nyeti wanabuma halafu wanatutafuta sisi wa mtaani ilhali wameajiri watu wao. Vivyo hivyo NEC nadhani wanakosa mtaalam au wataalam wa kuoperate systems walizonunua kwa effective results.

  Nilipigwa butwa kusikia kwamba huko mikoani wasimamizi waliunganishwa na mtandao wa NEC kupitia G3. nikajiuliza ina maana serikali hasa kitengo nyeti kama NEC inatumia outsource provider badala ya servers zake na mfumo wake wa kimawasiliano from remorted computer to the main portal.

  Inabidi swali tuwatumie NEC watueleze kinagaubaga how does ICT affectionate UCHAGUZI this year. usikute hawana msemaji wa masuala hayo pia.....

  Nashukuru kuwa nilikuwa miongoni mwa baadhi waliojitolea kufanya kazi na LHRC kitengo cha ICT kwa kupokea na kuconvey messages to report. ingawa mara kadhaa server ilizidiwa kwani hawakutegemea workload na responds kubwa kutoka kwa subscribers.
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  • Itapendeza sana yukijua aina ya equipment zilizotumika na kazi yake formal network communication kati ya vituo, majimbo wilaya na
  • itapendeza tukipata picha au malezo yanayoweza kutusaidia kuona model ya datal flow diagram
  tunaweza kutoa mapendekezo ya kuboresha ili mchango wa ICT uwe +ve badala ya -ve
   
Loading...