WOW!! TTCL they made it | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WOW!! TTCL they made it

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ThinkPad, Jan 6, 2010.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ongera sana TTCL kwa kuleta EV-DO, Lakini cha kusikitisha ni gharama zenu maana nyinyi mlidai mmejiunga na mkonga,

  TTCL mobile internet tariffs

  You get charged based on data consumption (uploads and downloads). One Megabyte is used as unit although charging is actually done in Kilobytes (smaller unit).

  [​IMG]Charging is by Flow (MB) and the Price is Tshs 160.00 per MB for both basic mobile data and mobile Broadband.

  NOTE:
  One megabyte can surf up to 20 web-pages; send/receive up to one hundred e-mails; Up to one hour of web-chatting. hii ni kweli !!!!!????

  TTCL 2 GB bundle is 100,000/=

  ZANTEL THEY CHARGE 5GB FOR ONLY 130,000/=
  NA SPEED YAO NI KUBWA KULIKO TTCL nadhani ndio inaongoza kwa speed nzuri.

  1MB FOR 50 Tsh. up to 1MB FOR 27 TSH

  Kama ni mimi nashauri watu watumie Zantel maana gharama zao ni ndogo sana ukilinganisha na mitandao mingine na speed yao ni kubwa kulinganisha na Voda, Buzz, Celtel, Sasatel na TTCL yenyewe BBL standard.

  Unachotakiwa ili ufaidi zantel nunua Modem EC 226 utaikubali mwenyewe,

  Hiyo modem unauwezo wakufunga hata Computer 30 na bado ukapata speed ya kufa mtu.

  TTCL inabidi wapunguze gharama zao kama Zantel,

  Kuongea haya yote ninayo modem ya Zantel,TTCL ev-do na Vodaphone hivyo nimelinganisha speed na gharama nikakuta bado na shawishika kutumia Zantel,
  TTCL nimeiweka Kando kama kunamtu anaitaji Naiuza kwa punguzo la 20% nimeitumia siku 4 tu!

  Ila siku TTCL wakigundua kuwa gharama zao ziko juu wakipunguza Ntajiunga nao kwasasa Hongera lakini kwaheri.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  Bravo ttcl
   
 3. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  go for ZANTEL man they charge 120 Tshs per 1MB
   
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  50 per 1MB brother,

  Inabidi jamii yetu igundue hii kitu maana tukinyamanza ndugu zetu wanaumizwa gharama hizo ni kubwa sana, Ukizingatia watu wengi hawajui na Zantel wamelala wanapitwa hata na sasatel wakati sasatel haifui daff kwa Zantel.

  Bravo Zantel
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  jamani zantel ni super nyie watu!!!! nawapongeza sana zantel huduma ni bomba na rahisi!!!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mzee,

  vipi performance yao? maana akina kimanzichana, kibwegere, charambe, mwongozo, fukayose nk. au kule amani kisiwani?
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu MTM, si bora ukachukua hata Zantel 3GB kwa Tshs 86,000/= kuliko hiyo 2GB kwa 100,000/=? Anyway, isijekuwa nawaharibia watu biashara. Kupanga ni kuchagua! Zantel 10GB ni 270,000/= (Post paid) na hapo maanake unakuwa unalipia 27/= per MB.

  Think of it bro!
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  what is minimum bandwidth size kwa ttcl na zantel?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa mkuu... nataka sana kuchukua Zantel, tatizo linakuja kwenye coverage... kule kimanzichana, kibwegere, amani beach, kisota nk. ntapata reception?? Nilijaribu kuuliza wale jamaa wakasema ngoja wacheki lakini naona kimya

  ila nimeumia sana mkuu na Voda, namshukuru sana ThinkPad maana huwa anatukumbusha sana kuhusu haya mambo
   
 10. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Mkulu hakuna cha kuharibia watu biashara Kinachotakiwa ni useme ukweli hata kama punda afe na afe ila mzigo ufike,
  Watu wanaliwa pesa wakati Zantel inatoa Bandwidth kubwa tena na kwa bei chee.
  Me ntalaumu sana watu wanaojua ISP ambaye ni mzuri na gharama ndogo na huyo mtu akakaa kimya bila kuwaambia wenzake nao wafaidi kama yeye anavyofaidi.

  Please tujulishane jamani vitu vizuri, maana mpaka sasa kunawatu wanaonakutumia internent kuwa ni Khanasa wakati ni kitu cha kawaida tu katika maisha ya siku zote na inatuwezesha kupata information
   
 11. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Kweli Zantel ni supper ila watu wengi hawafahamu hilo, inabidi tuwajulishe jamaa na marafiki
   
 12. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  ThinkPad upo g.yuuuu kama IBM vile....hahahahh

  naenda kuiweka sokoni datacard yangu ya voda leo....

  kumbe zantel wapo cheap hivyo? hawa jamaa nilisikia wanaspace

  kwenye satellite vipi wanaitumia hiyo kwenye voice tu au hadi internet??

  NOTE:

  kuna kampuni inaanza kuoperate soon inaitwa talktell ni ya wamerekani

  hii kampuni inakuja kuua soko la dstv, internet, voice kila kitu yani.

  kwanza ni wanasatellite yao wenyewe so coverage is not unissue

  watakua wanauza ki antena flani hivi ambacho kinacost kama elfu 30,

  sasa kutokana na speed ya internet yao utakua unauwezo wa kuchek

  mechi online, so wale MABEPARI wa dstv huu ni wakati wenu KUFULIA

  mmetuibia vya kutosha sana. so my people dont wory about hizi charges

  za simu, watazishusha wenyewe. ukiachilia talkTELL kuna jingine nalo

  linakuja, hili limeinunua ile BOL...na ZAIN nayo ishanunuliwa na ORANGE

  so wory out my people we r going to enjoy this services....
   
 13. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Taarifa ni kitu cha msingi sana binadamu kuwa nacho kwa wakati. Mtoa mada amesaidia sana kutuweka macho kuhusu huduma za Data ila hakuwa fair au kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Alipaswa kusema kwamba huduma alizosema kuhusu TTCL ni za mobile internet pekee na sio huduma za internet kwa ujumla wake. Mimi ni mteja wa TTCL broadband, huduma hii inapatikana mahali ambapo TTCL landline zinafika (Mijini) na tariff zake ni hizi:


  New BroadBand Package Tarriffs effective from 1st October 2009

  Package Size
  Price per month (Tshs)(VAT inclusive)
  Time
  Broadband -1GB
  30,000
  Per Month
  Broadband – 2GB
  60,000
  Per Month
  Broadband – 4GB
  100,000
  Per Month
  Broadband – 10GB
  200,000
  Per Month
  Broadband – 20GB
  360,000
  Per Month
  Broadband –40GB
  450,000
  Per Month
  Broadband – 100GB
  1,000,000
  Per Month

  Hivyo alichosema kuhusu 1mb kwa Tshs.160 ni sawa lakini hii ni kwa Mobile internet na sio broadband. Wheather is cheap or expensive you can see the real tariff above.

  Nawasilisha mkereketwa wa kampuni za kizalendo.
   
 14. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bravo ya nini ikiwa bei zao ni za juu?

  Huu ni wakati wa ushindani na kabla sijajiunga na intenet yoyote naangalia gharama zake. Ikiwa bei za TTCL ni za juu, nitaendelea kutumia Zantel

  They need to be aware ya kwamba sasa tumesoma, tunaangalia costs first, brand loyality second.
   
 15. W

  Wanzuki Senior Member

  #15
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna kitu mie sielewi, naomba kuelimishwa maana ya 'per month'. Ina maana nikinunua, mfano, 100GB kwa hiyo 1m, mpaka mwisho wa mwezi nikawa nimetumia 60GB, zilizobaki 40GB zinafutwa?!
   
 16. W

  Wanzuki Senior Member

  #16
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naungana na wewe mkuu MTM, coverage ya hiyo Zantel ikoje?! Mie natumia Voda, na mara nyingi natumia kwenye Laptop nikiwa safari za huko mikoani. Sasa hiyo Zantel utapata connectivity ukiwa huko ndani ndani?! Kama uko stationary miji mikubwa, kama Dar vile, una choice kubwa sana.
   
 17. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo maana yake mkuu, lakini binafsi sioni sababu ya wewe kuchukua 100GB wakati matumizi yako hayakufikishi huko. Hili ni suala la bajeti kwamba nitatumia kiasi gani kutokana na uzoefu wa mahitaji, ndio maana kuna package tofauti kwa watumiaji tofauti. Huwezi kwa mfano kuchukua 1GB kwa matumizi ya nyumbani badala yake utachukua 1GB ambayo ni 30,000 na kama matumizi yako ni ya chini ya hapo kuna huduma ambayo utatumia badala yake. Nadhani nitakuwa nimekujibu.
   
 18. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135


  Unajua kama ukiangalia mwanzo kabisa nimesemea ni EV-DO yaani wireless broadband.
  Na sio hiyo ya fixed, ila ukweli upo pale pale kuwa hawa jamaa wa TTCL wanagharama kubwa sana ukilinganisha na zantel na Sasatel
   
 19. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shukrani kwa kutuhabarisha Think,hata mimi natumia Zantel kwa speed hawana mpinzani,kwa hilo Zantel ni nambari wani,
  ThinkPad vipi uko mjini hapa Dar au uko mkoa ,kila la heri
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nakushauri uwaone CCTV yaani very cheap akija Sunctus atathibitisha mm nalipia $ 70 for 6GB kwa miezi 3.
   
Loading...