Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari zenu jamani computer ambayo ninatumia kwa sasa inanisumbua kwa jambo moja kwamba kuna bar ambayo kama ukiminimize certain folder unaweza kuiristole kwa kuclik kwenye hiyo bar ila sasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeingia jijini dar jana. Je ni wapi naweza kupata laptop mpya kwa bei kati ya laki tano hadi laki saba. Na yenye gerentii japo mwaka mmoja. Natanguliza shukrani wana JF kwa msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
"USE THIS FOR EDUCATION ONLY,AM NOT RESPONSIBLE FOR ANY THING CONCERN THIS MATERIALS" 1.FUNGUWA BROWSER YAKO,MIMI NATUMIYA EXPLORE. 2.NENDA ANY LOGIN PAGE,NAOMBA LEO NITATUMIYA GMAIL...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
:israel: Most of you might be aware of the fact that it is possible to use Windows 7 and Vista for 120 days without...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rapidshare is a great file sharing site , but sometimes it´s difficult to find wanted file in rapidshare. In this post i´ll show simple keyword trick, that can help a lot. Go to google and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mteja wa NMB na pia natumia sana NMB mobile katika kuhamisha pesa kwenda sehemumbalimbali. Huduma ya NMB mobile imetusaidia sana hasa tulio na watoto wanaosoma boarding. Nimeshangazwa na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Poleni kwa Kazi wazee! Tatizo langu ni kwamba, Naitaji Kucopy Movies Kutoka youtube Naomba Mnisaidie kwa Hilo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sorry for posting this so late. Tri Labs will be conduction a two weeks web development workshop from 25th Oct - 5th Nov. During the workshop will we cover (XHTML/CSS, JavaScript using jQuery...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nisaidieni nataka kuwakimbia sasatel, kwani nikitoka tu nje ya Dar kwisha habari. ingawa si mtaalamu na mzoefu wa modem za mitandao mingine lakini hii ya sasatel haitumii sim card ya sasatel...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Hello wana JF, naomba wimbo wa Hukumu wa Shinyanga AIC choir. kama unao attach hapa nitaupata. Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Why risk your time using so much Activator if we have the Windows 7 © Developer Activation??? Proven and tested by ME.. Download Here: Code: Download...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
AP – This 2009 image provided by NASA shows the area of the lunar South Pole where the LCROSS experiment, …...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From VS Revo Group Revo Uninstaller is a freeware innovative uninstall utility much faster than Windows Add/Remove applet. With its advanced and fast algorithm, Revo Uninstaller scans before and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jAmiiF, kama unahitaji ku unlock 3G modem yako ili uweze kutumia laini yoyote at your convinience, basi download hii soft ware. Then Chukua Imei namba ya modem yako inakili pembeni...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Scorching gas giant has one side that is perpetually boiling...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya. Tovuti ya Chadema haipo hewani. Sishangai nikiambiwa ime-crush kwa sababu ya traffic au CCM wamei-hack! Dr Slaa yuko kwenye kampeni akihamasisha pamoja na mambo mengine teknologia wakati...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu! Nimependezwa na utendaji kazi wa Microsoft Reader hasa baada ya kuijaribu kwenye Asus Eee PC T91MT Tablet Netbook. Text to speech na Clear Type ni baadhi ya features...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaowachafua baadhi ya wagombea wa Uraisi 2010 Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania, TCRA, imekiri kupata taarifa za kuwepo kwa ujumbe unaosambazwa kupitia...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Wadau, nimeshaona minara yakurushia matangazo ya redio mara nyingi kila kituo kina minara yake (sijui kama kuna vituo vina'share' matumizi ya minara hiyo).nimewahi kusoma kuwa katika mfumo wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
msaada wana jf huu ujumbe unatokea kila nikiwasha pc yangu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom