Msaada restoring my iphone music from backup

Sabode

Senior Member
Apr 11, 2008
160
21
Hello wana bodi.
Ni long taim since nimepost inshu hum ndani, sasa jamani nina iphone yangu nilikuwa nataka ku sync ikatokea kuwa all music imetoka kwa iphone ila ipo katika backup, sasa suala ni kuirudisha maana niliipata kwa gharama japo kidogo hvyo naomba aliye mtaalam ktk hili anisaidie.
Natumia win xp, sp3 na nina itunes na iphone yangu ni version 3.0.1 ,3G.
Asante sana sipati tena raha kwa sasa.
 
kama zipo itunes just sync then zitarejea. hata kama zipo kwenye backup zitupie itunes then sync. otherwise waweza tumia Xilisoft iPhone Transfer software kuifanya hiyo kazi, if you need xilisoft just let me know i will send it to you.
 
Hellow members ni vema ukiwa umeshapata solution ujulishe umma ama uondoe post yako ili watu wajue kama bado unahitaji ama la
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom