JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,912
- 8,162
Wadau nina tatizo moja, kuna files(audio files) nilizichukua kutoka computer fulani, sasa kufungua flash naona zinaonekana kama shortcuts ambayo haitambuliki kwa hiyo files haziwezi kuwa accessed. Lakini kwenye properties zinaonekana zipo kwani zimekula memory ya kutosha. Nifanyeje wadau naomba msaada.