Double windows (OPSs) - Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Double windows (OPSs) - Msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Njaa, Oct 15, 2010.

 1. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Wakuu....
  Laptop yangu ilikuja na window vista, ila ilikuwa haitaki ku-install baadhi ya programs zangu muhimu za shule, kwa hiyo kuna mtaalamu mmoja akaniwekea window xp hivyo kufanya computer yangu kuwa na windows mbili (double operating system), window vista ilikuwa default window.

  Sasa nimemaliza shule na siihitaji tena window xp, kwa hiyo wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa window xp bila ku-disturb window vista na programs zake. Kwa mwenye kujua hayo anisaidie hapa jamvini au kwa kuni-PM.

  Nawakilisha
   
 2. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Wakuu nasubiri!!
   
 3. m

  mosesk Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ushauri mzuri ni kwamba kwa kuwa tayari umetumia Windows Vista, ningekushauri utumie Windows 7 haina matatizo ya windows Vista na ni bora, badala ya kurudi Windows Xp. Huna shida ya kujihangaisha kila kitu ambacho ungekipata kwenye Windows Xp utapata kwenye Windows 7. Ukihitaji nitakupa namba ya mtu wa kukusaidia kwa sababu mimi siko bongo.
   
 4. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Zote mbili zinafanya kazi?
  Specs za computer hardware matters
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nenda Ka edit kitu kinaitwa Boot.ini file

  Lakini kwa sababu ulisema hata hiyo XP uliwekewa na mtaalamu bora umtafute huyo mtaalamu au mwingine yeyote sababu ukikosea tu kuedit vibaya kwenye hiyo Boot. ini mashine yako itahitaji fresh installtion.efe

  Kuna option mbili za ku edit boot ini kuondoa reference ya OS usiyotaka

  1 .nenda kwenye Run type msconfig.exe kuna button ya boot.ini chagua hiyo

  2. Right click my computer chagu Propoerties then advanced alafu chaguabutton ya setting kwenye startup and recovery mwisho chagua button ya Edit kwenye system Startup. Hapo unaweza kuedit kuchagua OS unaytaka kuifuta.

  Kwa maelezo zaidi tembelea How to edit the Boot.ini file in Windows XP
   
 6. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kaka, hiyo wanacheza nayo wanaofahamu wanachofanya. Ni Hatari sana na anaweza kumuua "mgonjwa" kabisa!

  Kuna computer (Kuanzia Vista->>) zina auto software the ku repair ndio maana ya swali langu hapo juu
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok sikujua kaka. zadi ya kusoma soma sina practical experince kubwa sana kwenye . Window Vista na 7. Am still enjoying XP

  So tupe shule I would also like to know.assuming specs zake zinakizi vigezo. anatakiwa afanye nini? au hizo specs ni ni zipi?
   
 8. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Easy, kama aliinstall kufuata utaratibu, Vista/7 inatengeza partition ndogo ya recovery.
  1. Reboot mashine
  2. Press right key for recovery (Huwa inaandika.. press XX for recovery), HP mara nying ni kama F11
  3. Ita boot toka rec. drive na kujaribu ku-repair startup problem.
  4. Iki fail unapelekwa ka recovery console..mwend wa commands

  Sasa kama umesoma hapo juu hajatoa info kama Vista iko ok na iko partition ipi. Machine type/specs et al.
  General question always receives general answer
   
 9. mallabamussa

  mallabamussa Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kama umeinstall os hizo ktk partition mbili tofauti. Amisha files kisha format hiyo partition yenye winxp.
   
 10. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Soma hapa chini kujua kinachohitajika na windows 7

  Google Tafsiri

  Kabla hujahamua kuweka windows 7 ichunguze kompyuta yako kuona kama inaweza kukubali windows 7, pakua mshauri wa uboreshaji wa windows 7 kutoka hapa
  http://translate.google.co.tz/translate?hl=sw&sl=en&u=http://windows.microsoft.com/upgradeadvisor&ei=e9-_TI2aMZDQjAenutXdCQ&sa=X&oi=translate&ct=result&resnum=3&ved=0CCoQ7gEwAg&prev=/search%3Fq%3DWindows%2B7%2BUpgrade%2BAdvisor%26hl%3Dsw.

  USHAURI
  Kama kompyuta yako ina uwezo wa kuendesha windows 7 ni bora ukatumia hiyo kwani yenyewe inaweza kupokea vifaa laini vilivyotengenezwa kwa ajili ya XP. (toleo la windows 7 profession na ultimate pekee ndiyo zenye uwezo huo)
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
Loading...