Hii members, nahutaji msaada wa how to unlock modem ya sasatel, EVDO Broadband USB Modem, hizi hapa ni specification zake:
CDMA 1x EV-DOrA(IS-856-A)
Down Link: Max 3.1 Mbps
Up Link: Max 1.8...
Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama...
Although OS X has made great strides in the last half decade in regaining market share, the various permutations of Windows still rule most of the computing world, largely thanks to the reliance...
Ndugu wa JF wenye ujuzi na computers naomba msaada katika hili,nina laptop inatumia antivirus aina ya avg 9.0,sasa nataka niiondoe ili niweke antivirus nyingine lakini kila nikitoa inaniletea...
Nina PDA aina ya ASUS mypal A626 ambayo haina sehemu ya kupachika SIM card. Kwa sasa ninaweza nikaitumia sehemu yoyote penye Wi-Fi au Wireless network yeyote ile. Ningependa niitumie kwa internet...
Wanajamii,nina imani wengi wetu tuna moyo wa kuchangia elimu yetu kwa jamii.
Timu nzima ya AfroIT inahitaji wataalam ambao wana moyo wa kujitolea kuandika makala mbalimbali zinazohusu ICT na...
CHIZICOMPUTER
0712484995
edjizzo@yahoo.com
ndugu wa tanzania mambo mapya ujizi auchoki hacker wameamua kusaidia watu wasikuo na uwezo kununua apple pc na sasa una weza kutumia pc na ikawa na os ya...
According to an October 2010 report from independent analyst firm Forrester Research, Inc., Oracle is a leader in enterprise business intelligence (BI) platforms.
Forrester Research defines BI as...
Kwa Video ya Mada hii Tembelea HAPA
Source:AfroIT.com
Ufanyaji kazi wa mitambo endeshi(Operating Systems) unafanana sana na ule wa mwanadamu,kwa mfano,wengi wetu tumezoea au kuwa na tabia...
Laptop yangu ina win xp professional sasa kuna button nimeigusa bahati mbaya imesababisha desktop iwe upside down yaani start ipo juu kulia yaani kila kitu ni upside down.
Nawasilisha!
Wana jamii forums, wale wajuzi wa vilongalonga vya mkononi, nisaidieni jinsi ya kuiunga simu yangu aina ya nokia 2690 kwenye mtandao wa internet.
Natanguliza shukrani zangu kwenu,
Nina tumia latest version ya Internet explorer, tatizo lake kila nikitaka kufungua new tab ina jifunga yenyewe. Nimejaribu kutroubleshoot(Tool-General-tab section-setting-nimekuta features ziko...
Naombeni ushauri au kama kuna msaada maana kuna simu yangu ninayo ila inanizingua kidogo...Nimenunua Memory card aina ya MICRO SDHC lakini tatizo linanijia inakubali kusoma data kwenye simu na...
kuna kamera nimepewa , ni digital , aina ni EXILIM , ila charger alipoteza na mie kesho nasafiri so naomba kuambiwa nitapata duka gani linalouza charger, sasa hivi plz, niko dar , kama haitajibiwa...
There are a few things that can be done in times of grave emergencies. Your mobile phone can actually be a life saver or an emergency tool for survival. Check out the things that you can do with...
Walenga walisema Ya kale ni dhahabu, hii sio tu kwa binadamu,bali hata kwenye mitambo ambayo yao hutumia sifuri na moja(kompyuta) nayo hulitambua na kujua umuhimu wa kuhifadhi vitu vya zamani...