MSAADA google crome

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
natumia gc brwser ,lakini inakataa log in kwenye facebook,inasema haitambui username wala passwod zangu.msaada
 
Check vizuri mkuu maana mimi mwenyewe ndio natumia hiyo labda kuna mahali kuna problem..Je umejaribu na mozilla au opera na bado inagoma??

Au clear everything kwenye hiyo google chrome then jaribu tena!!
 
Tatizo ni facebook yenyewe,
Kama unatumia pass yenye special characters basi reset kwa kwenda "forgot my pass" afu check caps lock
 
Back
Top Bottom