Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama mitandao ya hapo nyumbani itazitambua au itazikataa? nilikuwa nafuatilia mjadala wa ku-unlock moderm za huawei, nikashawishika kuzitafuta hizo moderm maana naona wengi ndo wanatumia sasa sijui wataalamu mnaniambiaje?