Marekebisho ya web browser......... Internet Explorer.....

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,077
Nina tumia latest version ya Internet explorer, tatizo lake kila nikitaka kufungua new tab ina jifunga yenyewe. Nimejaribu kutroubleshoot(Tool-General-tab section-setting-nimekuta features ziko ok), nikafungua tena ikagoma, nikaweka setting za default nikajaribu tena ikagoma, nika unstall na ku-install hiyo browser mara tatu kila mara najaribu kufungua new tab ikashindikana, nikajaribu kuruhusu pop-up ikagoma nikazizuia ikagoma. nimechoka, wanaJF nisaidienieni kurekebisha hii browser iweze kukubali tabbing. PC yangu ni Toshiba Tecra, Natumia window XP.
 
Una maana gani ukisema latest?

Kama ni Version 9 bado ni beta so expect some minor problem so solution ni jaribu kutumia IE 8.

Otherwise if u dont mind support openess and open source tumia Moziila firefox
 
Nina tumia latest version ya Internet explorer, tatizo lake kila nikitaka kufungua new tab ina jifunga yenyewe. Nimejaribu kutroubleshoot(Tool-General-tab section-setting-nimekuta features ziko ok), nikafungua tena ikagoma, nikaweka setting za default nikajaribu tena ikagoma, nika unstall na ku-install hiyo browser mara tatu kila mara najaribu kufungua new tab ikashindikana, nikajaribu kuruhusu pop-up ikagoma nikazizuia ikagoma. nimechoka, wanaJF nisaidienieni kurekebisha hii browser iweze kukubali tabbing. PC yangu ni Toshiba Tecra, Natumia window XP.

Mkuu unatumia antivirus gani? Huenda hilo likawa tatizo.
 
google chrome!tumia itajiweka yenyewe ktk default au ie8 idefault auto!
 
@ Wacha1: natumia kaspersky 2010. tangu feb.2010 vyote(antvirus na browser) vilikuwa vinafanya kazi sawa. tatizo limeanza 19/12/2010.

Nawashukuru wote kwa options mlizonipa. nimeweka Mozilla firefox inafanyakazi vizuri.

Ila nilikuwa nime'bookmark' webpages nyingi sana kwenye explorer. nimejaribu kucopy softly(copy and paste) link zake imeshindikana , nafikiria kuziamisha manually(hardcopying).
 
Hapo kwenye mozila Nenda kwenye file then chagua Import . Utafanya uhamisho wa bookmark zote zilizokuwa kwenye IE
 
Back
Top Bottom