Kuunga kwenye internet nokia (ya kihindi) 2690

SHINYAKA

Member
Oct 6, 2010
72
125
Wana jamii forums, wale wajuzi wa vilongalonga vya mkononi, nisaidieni jinsi ya kuiunga simu yangu aina ya nokia 2690 kwenye mtandao wa internet.
Natanguliza shukrani zangu kwenu,
 
Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,237
2,000
Wana jamii forums, wale wajuzi wa vilongalonga vya mkononi, nisaidieni jinsi ya kuiunga simu yangu aina ya nokia 2690 kwenye mtandao wa internet.
Natanguliza shukrani zangu kwenu,
unatumia mtandao gani?
 
tcoal9

JF-Expert Member
Apr 5, 2009
250
0
Ingia sehemu ya msg andika ACCESS kisha tuma kwenda namba 232, Save setting utakazo tumiwa.
AU kwenye msg andika INTERNET tuma kwenda 232 , Save setting utakazo tumiwa.
Kumbuka ku Set default hizo setting ulizo save.
Then nenda sehemu ya WEB /Internet menu ya simu yako ,
Bofya OPTION kisha GO TO anndika hii web adress mini.opera.com
hapo utaweza kudownload the world fastest mobile browser OPERA MINI.
Pia waweza kujaribu ucweb browser toka hapa www.uc.cn/English/

Ukifanikiwa tujulishe hapa kwenye javi.
 
nawashukuru sana wanajamii, nimejaribu njia hizo hapo juu nikakumbana na SMS isemayo ''service is not available at the moment'' au simu aina hii ni Kanyaboya??
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0

SHINYAKA

Member
Oct 6, 2010
72
125
Wana Jamiiforums, shukrani nyigi kwa msaada wa kila aina mlionisaidia, tatizo limekwisha, sasa twaweza kuwasiliana hata sehemu nje na mijini mradi signal za mtandao unafika. idumu jamiiforums.
senkiyuni, ndaga fijo, wabeja, nyongise, asandu, Ashe nale, Aikambe!!.......... :happy: :laugh: :laugh:
 
TATIANA

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
4,421
2,000
wana jamiiforums, shukrani nyigi kwa msaada wa kila aina mlionisaidia, tatizo limekwisha, sasa twaweza kuwasiliana hata sehemu nje na mijini mradi signal za mtandao unafika. Idumu jamiiforums.
senkiyuni, ndaga fijo, wabeja, nyongise, asandu, ashe nale, aikambe!!.......... :happy: :laugh: :laugh:

i like surfing using a phone. Naipata jf full tym. Natumia computer mara chache sana kupata jf..

Jf kiboko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom