Problem with Nokia E63, 4GB Memory Card.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Problem with Nokia E63, 4GB Memory Card..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Papizo, Jan 1, 2011.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Naombeni ushauri au kama kuna msaada maana kuna simu yangu ninayo ila inanizingua kidogo...Nimenunua Memory card aina ya MICRO SDHC lakini tatizo linanijia inakubali kusoma data kwenye simu na nikiweka nikienda sehemu ya memory card inaonyesha CAPACITY NI 3774MB and USED 82MB and FREE 3691MB so nikijaribu kuweka mp3 zangu kwa njia ya bluethooth kutoka simu yangu nyingine hii nokia inasema kwamba NOT ENOUGH MEMORY TO PERFORM OPERATION...So bado sijajua mpaka sasa nimejaribu kucheck online for solution but sijapata kabisa...Kuna wataalam humu ndani naombeni msaada wenu please nini nifanye???
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  kifupi memory card ya kichina.tupa kanunue nyingine original kisha nayo ikikuzingua uje na swali.
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu more information please maana bado sijakuelewa hapo...What do u mean kwamba Memory card ya kichina u mean kwamba hamna memory card aina ya MICRO SDHC au una maanisha nini??Utajuaje original na fake???Siamini kama hii memory card inaweza kuwa ya kichina!!
   
 4. D

  Derimto JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hili lipo na nimeshawahi kutumia memory ya 4GB na 8GB zilinigomea zote kwenye cm.ya nokia E61i na siyo moja nimejaribu mbalimbali zimegoma inakubali mwisho 2GB nadhani pia kuna limit ya memory kulingana na aina ya cm.
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Unapotuma file (picha, muziki, app etc.) kupitia BT, kulingana na aina ya simu linapokelewa kama MESSAGE. Sasa kulingana na namna ulivyo set simu yako isevu wapi meseji zinazoingia, either ita-save kwenye phone memory au memory card.

  Kulingana na maelezo yako simu yako ipokea meseji kwenye phone memory, ambayo nina kila sababu ya kuamini kuwa ni ndogo. (actually simu nyingi zinafanya hivyo--kupokea sms kwenye phone memory).

  Nenda kwenye Messaging settings na uone kama kuna option ya kubadili save folder la messages. Endapo hakuna basi utahitajika kutumia PC ku-transfer files.
   
 6. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sio mchina.you should tell it where you want the storage to be maybe its defaulting is storage in internal memory halafu internal haitoshi.
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Asante sana ndugu yangu kwa msaada wako na maelezo yako.......Na mimi nilikuwa na wasiwasi huu kwamba inaweza kuwa hii simu ina limit ya memory card so nitajaribu pia kucheck kwa umakini zaidi nione kama tatizo ni Memory limit...Thanks again mkuu!!
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Daa kwa kweli kuuliza sio ujinga kabisa...Mkuu your the best man...Actual nilikuwa nimepanga monday nirudishe hii memory card wanipe full refund lakini nimecheck kwanza kama ulivyosema kama hii simu inapokea mafile via messeg yes that true then kwenda kwenye messeg setting nikakuta kwamba mafile yote yanaingia kwenye Phone memory ambayo ipo file....So nikacheck memory card yangu pale nikachange kutoka phone memory to memory card kujaribu kuingiza tena mafile naona kila kitu kipo makini kabisa hamna tena problem.......Asante sana mkuu maana nilikuwa sina wazo kama hilo ni tatizo..........Thanks again so kama tatizo ni hili then naweza kutumia hata 8GB bila tatizo.....Thanks again!!
   
 9. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yeah that true mkuu nimefanya na kila kitu kipo powa kabisa sasa hivi!!!
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu nadhani ushauri wa wakuu hapo juu umenisaidia sana maana nilikuwa nimepanga kuchange ila baada ya kufatilia walivyoniambia kila kitu kinafanya kazi vizuri sasa hivi!!
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hongera mkuu kwa majibu yenye mafanikio nikipongeza wote walo kupa majb mazuri walokuboa ucjali ndokawaida ya jamvini ila madamu umeshapata msaada niseme ucsite tena kulza
   
 12. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Asante pia hata wewe mkuu kwa kupitia na kucheck wapi tumefikia thanx again.......Hamna noma mkuu nikipata problem yoyote nitazama hapa na kuuliza bila shaka kabisa...............Tupo pamoja!!!
   
Loading...