Hiphop
Member
- Jul 17, 2010
- 51
- 7
Ndugu wa JF wenye ujuzi na computers naomba msaada katika hili,nina laptop inatumia antivirus aina ya avg 9.0,sasa nataka niiondoe ili niweke antivirus nyingine lakini kila nikitoa inaniletea error occured during uninstallation then inarestat na ikiwaka bado antivirus ya avg inakuwepo,nifanyeje kuiondoa?