KWENYE TUTA WAJEMENI: Msaada wa drivers za WebCam ya Dell Inspiron 1545

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,541
12,399
WanaJF Naomba Msaada kwa mwenye kuweza kunisaidi drivers za WebCam ya Dell Inspiron 1545. Nitashukuru na Kugonga Thankz kibao jamani msijali!!!
 
WanaJF Naomba Msaada kwa mwenye kuweza kunisaidi drivers za WebCam ya Dell Inspiron 1545. Nitashukuru na Kugonga Thankz kibao jamani msijali!!!

Your first stop should be officia del website dell.com Dell
tafuta sehemu yenye techical support itakuleta hapa Welcome to Dell Technical Support

Endelea kufuata maelekezo chagua model ya mashine yako
Then chagua OS ambayo hujataja.
Mwisho itakuletea list ya drivers , pakua driver unayotaka.

2.
Tambua hardware za webcam iliyomo kwenye hiyo dell the tafuta jina la driver kwa jina wenye website kama CNEt.com
 
Back
Top Bottom