msaada wa haraka

niwaellyester1

Senior Member
Sep 7, 2010
123
19
kuna kamera nimepewa , ni digital , aina ni EXILIM , ila charger alipoteza na mie kesho nasafiri so naomba kuambiwa nitapata duka gani linalouza charger, sasa hivi plz, niko dar , kama haitajibiwa leo naomba kuambiwa maduka ya mwanza ambako ndio naenda kesho
 
mbona nitakoma, na ndio niko najiandaa nipite madukani, posta cjui kama watakuwa wamefungua leo, na kariakoo je?
 
mbona nitakoma, na ndio niko najiandaa nipite madukani, posta cjui kama watakuwa wamefungua leo, na kariakoo je?

Specifiction za original charge zikoje. . Voltage, current.

OPTION nyingine.
Unaweza kujarribu uwezekano wa kulazimisha kucharge kwa KOBE??? sijui betri yake ikoje?
 
ya kobe ile ya kawaida ninayo ila nimeogopa kuitumia nicke nikaua betri

ukauwa betri vipi soma range ya voltage na current iliyokuwa inapitiakwenye charger alafu fanansiha na range ya kobe.

kwa uharakawako inawezakuwa solution na workorround. sahihi
 
Option nyingine katafute universal adaptor. Kuna adaptor zipo ambazo unaweza ku regulate voltage na current na zinakuwa na pin kama tatu au nne za kuwezesha kuunganisha na kifaa fulani.( simu, camera radio ngodo,etc)

But inabidi ujue range ya power ya camera/betri yako .

Je ni model gani ya camera tungalie specication zake za power kwenye net


Hayo ndio mawazo yangu otherwise safari njema

dreamliner said:
Nunua camera nyingine Mlimani CITY!

hahahhaha kweli kama per diem yake iko in terms of USD ni wazo zuri
 
Nunua Duracell kadhaa mpaka hapo maduka yatakapofunguliwa. Kobe inaweza kukuulia betri maana nafikiri haina regulator
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom