JE wajua MAC OS snow leopard ya ingia kwenye pc za kawaida

edjizzo

Member
Nov 2, 2010
81
1
CHIZICOMPUTER
0712484995
edjizzo@yahoo.com
ndugu wa tanzania mambo mapya ujizi auchoki hacker wameamua kusaidia watu wasikuo na uwezo kununua apple pc na sasa una weza kutumia pc na ikawa na os ya mac

jinsi ya kufanya
ingia kwenye torrent unazo zifahamu
na download
hii Snow_Leopard_10.6.1-10.6.2_SSE2_SSE3_Intel_AMD_by_Hazard
 
Kabla hujapost Thread mpya uwe unacheki kwanza zilizopo!! Thread kama hii tayari ipo hebu tazama hapa

https://www.jamiiforums.com/technol...tep-by-step-osx-on-a-pc-pdf-instructions.html

au tazama hapa: http://kimox.blogspot.com

Nilidhani utakuja na kitu kipya katika hili kumbe sivyo. Lete vitu vipya tujifunze sio kutugea info tu mkuu!!!!!

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom