problem installing ubuntu 10.10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

problem installing ubuntu 10.10

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Cestus, Feb 20, 2011.

 1. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Guys hope mnaenjoy wikend,nimeshawishika kudownload ubuntu na kuitest kama itaeza kuwa 2nd OS yangu,nimedownload,burn to cd. But nikiwa na install ikiwa inaextract files kuna mahal inafikia inaleta error....'unkown error occured,invalid argument'. Sielew tatizo ni nn,nlidownload toka kickasstorrents..help guys.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Why do u need to download ubuntu from kissasstorrents. Ubuntu ni free so unawez kuipata hata kwenye website ya ubuntu yenyewe .But thta should not be a problem

  nadhani kuna njia nyingi za kuinstall ubuntu.

  • One of them ni kuistall ubuntu kama program ndani ya windows.
  • Nyingine ni kusitall ubuntu alongside windows
  kwa kuwa wewe umeshadowload assuming file ulilodowload halina matatizo nenda hapa Download | Ubuntu

  Endeleea kusoma na kufuata maelekezo ya stage ya 3. Bonyeza seheme iliyonadikwa show me how kwa maelezo zaidi

  Good luck
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
Loading...