Help: How do we explain this????

Click_and_go

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
451
5
....i've never got the right answer about this:
kwanini ndege wakitua kwenye nyaya za umeme hawafi while binadamu akigusa tu anakufa??
 
Hi ni kwa sababu ndege anagusa waya mmoja tu na pia anakuwa hajakanyaga kitu kingine kama ardhi hivyo mzunguko unakuwa haujakamilika.
 
Hi ni kwa sababu ndege anagusa waya mmoja tu na pia anakuwa hajakanyaga kitu kingine kama ardhi hivyo mzunguko unakuwa haujakamilika.

Means binadamu akishika waya mmoja tu bila kishika kitu kingine hatokufa...au akivaa viatu vyenye mpira chini?
 
umeme ni nguvu ambayo inatoka sehemu moja na kwenda sehemu nyingine (electric current)...ili ufanye kazi unahitaji hasi na chanya......hata binadamu akigusa nyaya bila kugusa ardhi au hewa yenye unyevu mwingi umeme hautakuwa na sehemu ya kwenda, na hivyo hatakufa.

binadamu hugusa nyaya huku wamekanyaga ardhi....na ardhi ni hasi nzuri sana.
 
Means binadamu akishika waya mmoja tu bila kishika kitu kingine hatokufa...au akivaa viatu vyenye mpira chini?
Hatokufa wala kudhurika!
tena huo ndio ushauri unaposhughulika na umeme
- Vaa viatu vyenye ruber soles
-Epuka unyevunyevu au majimaji au ubichibichi aina zote
-Jitahidi kutumia mkono mmoja ikiwezekana mwingine uufunge mgongoni!
- Usiwe peke yako
 
avatar19636_1.gif
.....me heart this....
 
Back
Top Bottom