Zain/Airtel Manual Settings? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zain/Airtel Manual Settings?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sniper619, Feb 23, 2011.

 1. s

  sniper619 Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naomba mtu yeyote anisaidie na manual settings za mtandao wa zain/airtel maana nimehangaika kutuma meseji 232 bila mafanikio...simu yangu ni Nokia E72, nitahitaji CONNECTION NAME, ACCESS POINT NAME, AUTHENTICATION, HOMEPAGE, NETWORK TYPE, PHONE IP, DNS, PROXY...nimejaribu kucheza nazo lakini haikubali (tigo na voda inafanyika kirahisi)...plz help...
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ur line first inatakiwa iwe activated for internet use..pia iwe imesajiliwa..i rmbr i had dz prblm..ila 4 me line ilikuwa haijakuwa activated.wht i did z nilipiga customer and they activated line 4 me.
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ilat 4 manual config try this.conection name weka zain tz.accepoint name weka internet.username n pasword ucweke ki2.aunthentication weka normal.save and try.
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nenda phone 1.setting 2.cofg 3.add new 4.weka adres . www.zain.co.tz 5. actvt setting.
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hapo hamna cha kufanya mkuu zaid ya kusubiri dakika 15 nzima za matangazo ya zain kwnye cm ndo uweze kuongea na mhudumu! Piga cm customer care tu mm juz ndo nimefanya hvo wakaniunganisha wenyewe manually! Ila u have to b patient though huduma kwa wateja yao mbovu mbovu!
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kaka hapo cha muhmu wapigie bt uwe mvumilivu wa kuckiliza matangazo,then waeleze tatizo lako,au waambie jinsi ya kuweka mwenyewe personal configaration,so hapo watakupa lp address na v2 kibao watakuelekeza,then usisahau kuwaomba na sett za MMS yao ukifanikiwa utujulishe,na ikiwezekana weka hapa ili na wenye tatizo kama lako wapate na wao maujanja.
  Barikiwa.
   
 7. s

  sniper619 Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Asanteni kwa ushauri wenu....nilipiga cmu customer care...wakaniunganishia intaneti huko huko kwenye kompyuta yao bila kutuma settings kwangu...mhudumu kaniambia ku reboot cmu..kisha nijaribu...nilikuwa na settings za voda kwenye cmu yangu...na nimefanikiwa kutumia net ya airtel kwa settings za zamani za voda !!....voda wezi..2000 kwa 50mb...wakati airtel 2500 kwa 400mb...na wote 3.5G...!!!
   
 8. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Poa kijana karibu ktk ulimwengu maridhawa jickie huru.
   
 9. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Homepage: http://portal.zain.com >> Acess Point: Internet >> Proxy: 9201 or 8080 ila kama itakataa basi jaribu kufanya instalation ya Vodacom halafu utumie to surf kama itakubali
   
 10. s

  sniper619 Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Asante VeniGan...it was helpful...peace...
   
Loading...