Kwanini watanzani tumelemaa kiteknolojia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini watanzani tumelemaa kiteknolojia?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by redSilverDog, Feb 24, 2011.

 1. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Samahani, lakini itabidi niseme ukweli. Tanzania kwenye swala la teknolojia, tumelemaa. Tumekinai, hatutaki challenges na tunapenda virahisi.

  Jee ni kwasababu, au ndo tunavyofundishwa hivyo? au labda Serikali haitusaidii? Ndo kukata tamaa kwa kizazi kipya?

  Tatizo liko wapi? Kwanini hamna linux yetu? social network kutoka hapa? software zetu? simu zetu? kwanini?

  Na sio kwamba haiwezekani, mimi nina asilimia 100 kwamba inawezekana sisi kuwa hata nafasi ya 5, 2 au 3 kwenye maswala ya ICT in 20 years!!
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mfumo wetu wa elimu unachangia..check mwanafunzi aliyesoma labda hzi prvt vyuo kama aptech,newhorizon na aliyesoma gvrmnt..kuna utofauti mkubwa baina.pia cye 2nafundishwa kumaintain n repairing..
   
 3. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nadhani lawama zipi kotekote, yaani kuanzia serikali mpaka kwa wananchi. Bila policy za nguvu kutoka Central Gov. ni vigumu kwa watu binafsi kujua pa kuanzia. Lakini vilevile nadhani siasa ya ujamaa imetuharibu sana. Yaani hatuna ule moyo wa interpreneurship kama nchi zingine. Tunataka kila kitu kifanywe na serikali.

  Kwa mfano, katikati ya mwaka jana (2010) kila mtu alikuwa anasheherekea kuanzishwa kwa Fibre Optic International Submarine Cable kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano ya Internet, lakini mpaka leo hakuna mabadiliko yoyote. Kwa mujibu wa data mbalimbali, mpaka leo hii ni 0.6% ya Watanzania ndio wana- access na INTERNET! (Africa Internet Usage and Population Statistics) Hii ni balaa kabisa kwa nchi ya watu milioni 40. Bila kuwa na Watanzania wabunifu na kubaki kutegemea serikali nadhani hata Somalia itatuacha nyuma.
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Siasa ndiyo izaayo uchumi.

  Uchumi ndiyo uletao chachu ya maendeleo yote

  Uchumi duni ni matokeo ya siasa mfu.

  Siasa ndiyo imetuleta hapa.
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Majibu ni

  • hatutaki kujishughulisha na kuumiza vichwa.

  • hata watalamu wa mambo wanajadili mambo amabyo ni ya kujadiliwa na end user

  • Makazini hatuko creative au innovative. Tunasubiri tu kuambiwa fanya hivi fanya hivi. Its like we are programmed or remote controlled .we can not trigger something or some new ideas by ourselves.

  • We just like talking what we know we dont like practising what we know. Anzisha contest hapa ya ya watu walete code za login form. few will participate . Lakini ukiuliza Swali btn PHP na javascript wich is beter everyone atajibu.

  • Hatupendi kukosolewa au kuwa challenged. we treat ourselve as people who are at the peak.

  • Kushindwa ku relate knowledge and skilss tulizonanzo na enviroment or so Ofisi zetu. Mfano compuer profesional mwenye degree yuko pale wizzara ya elimu but hajawai kujiuliza how is ICT knowledge inaweza kusaidia elimu ya Tanzania. Wich ICT applicatins zikiingizwa wenyeelimu basi perfomance itaongezeka.We have left everything for politician?

  • Na ile kasumba ya Top down management approach inachangia . managers hawapendi ku take advice kutoka kwa watu wa chini yao. They just say we do.
   
 6. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kuchangia mimi naona hatupo ambitious enough!!! Hebu jamani tuangalie Rwanda, wanakimbia sisi tunatembea. Wanatupita tunawaangalia, karibia wataanza kuiba wataalamu kutoka nchi zengine za Afrika Mashariki!
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa kweli siasa zimetuharibu maana zimetawala kila k2 dr mtaalamu atapelekwa kuwa mkuu wa wilaya wataalamu wapo ila kwa sababu za siasa akuna atakae thamini mchango wako nafasi muhimu ya it atapewa aliyeishia la saba kisa mjomba wake ni mwanasiasa
   
 8. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Software zetu..... Forget it.
  kama ingewezekana, hapa JF (Technology section) kujua idadi gani ya topics zinazohusu kuchakachua basi ungeelewa kuwa especially Software yetu idea ni ndoto nzito sana. Tunapenda na kueneza uozo huu wa wizi tukijidanganya kuwa sisi masikini na hivi vitu tumevipata kwenye net, wengine husema wame'iokota kwenye torrent sites. Sasa huyo Mtanzania, ambaye angependa kujikita kwenye software development kweli anaweza kunufaika na kazi yake wakati watu wataisaka huko dampo (torrent sites)?

  Kuna topic moja on Michuzi blog, kuhusu Customer Services hospital za hapa mjini. Maoni yote ni kilio cha hii ishu miaka nenda rudi itakuwa hivi hivi unless concrete call to action zinakuwa discussed na follow-up inafanyika. Kuuguza ni cost kubwa sana Tanzania na ukitoa services kama insurance, bado kuna mengine jamii inaweza kufanya ili kutoa mfano. Mimi sijui costs za kuendesha zahanati, lakini najua mishahara midogo na resources chache katika haya mahospitali zinachangia poor services kwa wateja.
  Topic nyingine hapa JF kuhusu Jamii Farm nayo inaishia kuwa in the archives ya ideas nyingi tu watu wamechangia hapa JF bila kupata final resolution. Sijui hatujiamini au hatuaminiani. Tafiti hivi karibuni ilisema walioko mjini 84% hawaaminiani... LOL....
   
Loading...