Naweza kuzuia virus bila ya ant-virus?

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Habari wanaJF naomba msaada je naweza kuzuia virus wasiingie ktk computer bila kutumia program yoyote ya antvirus? Naomba msaada wataalam
 
Ili usishambuliwe na virus fanya yafuatayo
1. usiunganishe kompyuta yako na internet
2. usitumie romovable media kama vile flash disk, simu, kamera, modem, cd na kadharika
 
Huwezi kuzuia virus bila antivirus ila unaweza kujikinga na virus bila antivirus .

Protection 80 % ya suluisho lake ni updated antivirus
Prevention - kama alivyoadika baba mtu usitumie removable medi , internet. Wich means computer itkuwa haina maana tena.

So u need a mix of both protection and prevention measures
 
huwezi kuzia na antivirus pia! antivirus ubishoo 2.. if they want to crack ur pizza box, hata uweke uncle-virus!
 
lakini wale wakali wanaweza.. wanazijua loop holes. hata hivyo anaweza kuja zaidi yako, just 4 challenge. si unajua computer nerds kwa masifa?
 
Inawezekana sana tu.
1. usiconnect kwenye net
2. Usitumie flash ambayo inaingiliana computer nyingine.
3. Usiiexpose kwenye uwazi sana
4. Epukana na kuchomeka devises nyingine eg cm!
 
Inawezekana sana tu.
1. usiconnect kwenye net
2. Usitumie flash ambayo inaingiliana computer nyingine.
3. Usiiexpose kwenye uwazi sana
4. Epukana na kuchomeka devises nyingine eg cm!

Also use your computer by using a low privileged account such as a guest account instead of Administrator it helps somehow.
 
Install Linux au Ubuntu hapo hautohitaji Antvirus ya aina yeyote
Ni kweli kabisa mkuu. Pia browsers kama Mozilla firefox inauwezo wa kudaka malwares. Na huwa inashauri u disable features fulani fulani za anti virus unayoitumia ili kupunguza msongamano (traffic) kwenye internet. Naamini kwani hakuna anti virus ambayo ina ufanisi 100%
 
Hii
Ili usishambuliwe na virus fanya yafuatayo
1. usiunganishe kompyuta yako na internet
2. usitumie romovable media kama vile flash disk, simu, kamera, modem, cd na kadharika

na

Inawezekana sana tu.
1. usiconnect kwenye net
2. Usitumie flash ambayo inaingiliana computer nyingine.
3. Usiiexpose kwenye uwazi sana
4. Epukana na kuchomeka devises nyingine eg cm!

Ni kitu kimoja
 
Back
Top Bottom