Bomu limengukia sebuleni...halijalipuka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bomu limengukia sebuleni...halijalipuka!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by PakaJimmy, Feb 24, 2011.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wadau,
  Naomba kusaidiwa maelezo ya kitaalamu au ya kiuzoefu kuhusu mambo ya ammunitions, hususan bomu.

  Kufuatia ajali ya mabomu Mbagala na GongolaMboto, nimesikia kauli kama:
  Bomu lilitua mlangoni kwangu, lakini halikulipuka!

  Kinachinisumbua ni kwamba inakuwaje bomu lisafiri toka kwenye ghala hadi umbali wa km4,au 5 bila kuwa limerushwa na chombo maalumu, na bila kuwa limelipuka??

  Nijuavyo mimi ni kuwa katika hali ya kawaida ya ulipuaji, bomu linawekwa kwenye mtutu au mzinga, ambao ndio hulirusha, na likifika huko lilikotumwa linalipuka.

  Lakini kwa situation ya Gongolamboto, ni nguvu gani inayolirusha bomu(propulsion) tokea kwenye stoo, likiwa halijalipuka, na likasafiri km5, na likaanguka huko, na bado ikaripotiwa kwamba halijalipuka?
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Propulsion iko built in ndani ya kombora, mtutu haurushi kombora unatriger tu ile propulsion na kulielekeza kombora na hii propulsion ni tofauti na warhead ambayo ndo inalipuka, so nadhani warhead zinabidi ziwe armed kabla ya kuweza kulipuka.

  [​IMG]
   
 3. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  PJ,

  Nadhani ni force ya primary explosion that threw off other small ammunition. The force impact might been so high that centrifugal force propelled other items as far as 4 to 5kms away. Some bombs explode on impact but some requires a trigger or activation.
  Kuna yale ya kulushwa kwa mkono ambayo hutolewa safety pin and then once impacted, it explodes.
  Huenda haya ambayo hayaja explode ni sababu hayakuwa triggered or activated.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mimi sio mtalaamu sana wa physics lakini kwa mabomu yale ya mwaka 47 lolote linawezekana.
   
Loading...