kwa watu wote wanaotumia modem kupata internet, amekuwepo ujanja ujanja wa vodafone kuchelewesha kujiunga baada ya kujisajiri , au wakati mwingine message za kukubaliwa haziji kabisa au zinakuja...
wajameni naombeni sana msaada wenu cmu yangu nimeletewa toka UK so iko locked na mtadao uliyokuwa unatumiwa kwny cmu hii kwa bahati mbaya cwezi sema ni mtandao gani uliolokiwa lakini naweza wapa...
Wana JF, hivi ni lini Tanzania itakuwa na uwezo wa kumanufacture its own car? Tatizo ni nini?, Malighafi, Wataalamu, Uwezo wa kifedha, Mipango mibovu, Nia au kutokuwa na ndoto kama wenzetu walivyo...
Habari wana Jf, Nimelizwa computer na Moderm ya Vodacom, kuna jinsi yoyote ya kutrace moderm kwa kutumia IMEI au SERIAL ujue inatumika wapi? nimejaribu kupiga Voda customer care sijapata msaada...
Yahoo error reporting!
Salam wanajamvi!
Jaman naombeni msaada wenu nina tatizo nikifungua tu yahoo then nikasaign inn kusoma email inaleta window ya send error or don't send! eti nifanyeje...
Hodi wanaJF!! Modem yangu ya voda haifanyi kazi toka Ijumaa. Je kuna mwingine mwenye tatizo kama langu? actually natumia modem ya Zain iliyochakachuliwa. Toka Ijumaa napata message inayosema...
Wakuu Nina tatizo anayejua anipe ushauri i wa kitaalam.
Ninadevelop ka webblogwesite kwa kutumia CMS sofware ya wordpress
ili niweze kufanya customisation nazotaka ninatumia webhost au...
Open source anti-theft solution for Mac, PCs & Phones Prey
100% geolocation aware
Prey uses either the device's GPS or the nearest WiFi hotspots to triangulate and grab a fix on its...
Habarini wataalamu jana nimefanya format mashine yangu ya home dell nimeweka window XP serv pack
3 baada ya kumaliza kuformat ikapoteza sauti,na pia picha zikawa na scratch sana na font zimekuwa...
Nawasalimu wanaJF wote kwa jina la bwana yeye atutiaye nguvu. Jamani naombeni kuwauliza wataalamu ni aina gani ya SATELLITE FINDER ambazo ni orginal na bei yake ni
Wakuu, Nilikuwa Na-update Blackberry yangu curve 8320, ambayo imetolewa na vodafone, Wakati Na-update nilipata tatizo la simu ku-stack na kushindwa kuendelea na update, Nilijaribu kuichomoa betri...
haya jamani,kwa wale tunaoishi milimani kama morogoro umefika wakati sasa wa kufuata kilimo cha kisasa high technology with high yield,hiyo itasaidia kuondoa matatizo ya njaa,mmomonyoko wa udongo...
Wakuu habari! kuna Notebook Compaq nimeiona mahali nikaipenda nataka inunua tatizo imeandika Operating system yake ni FREE DOS. Naomba kujua hii ni nini hasa na je kama nikiinunua naweza instal OP...