Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hodi wana JF Pengine mimi si mtaalam sana wa IT, lakini wakati hizi Fibre Optic network cables zilipokuwa zinatandazwa tuliahidiwa kuwa mawasiliano ya internet yangekuwa na kasi zaidi na tena...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
1. Jifunze jambo au habari mpya kila siku. Kwa kutumia gooogle na mitandao mbali mbali mbali ni rahisi kujifunza mambo mapya ya kitenolojia. Changamoto ni chanzo ni chanzo na habari gani...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
KWA WALE ENTHUSIASTS WA UBUNTU, UBUNTU 11.04 IMESHAKUWA RELEASED LEO TAR 28-04-2011 at 2.00 PM GMT +3 MIMI NDO MANALIZIA KUI DOWNLOAD HAPA.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
nimeongea na mdau mmoja wa arusha yuko humu JF ni mtalam wa hii kitu,anasema kuwa hiyo programe ni kwa computer za MAC tu ambazo si nyingi9 kwa nchi kama za kwetu. Hii ni kweli au...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
mamboz wadau, naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma. natanguliza shukran
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu hesma yenu tafadhali, Nina laptop yangu imekataa kabisa kupokea internet service na sijui tatizo nini naomba mwenye utalaamu wa kutegua tatizo anisaidie tafadhali. Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau hivi km nikidownload software au application yoyote kwakutumia simu halafu nikaisave kwenye memory card ya simu je nikiihamishia kwenye computa itafanya kazi?mfano antivirus ya pc...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba nieleweshwe kwa nini kitufe chenye namba tano kwenye keypad za simu kina nukta au alama tofauti na namba nyingine? Hebu angalia simu yako
0 Reactions
43 Replies
9K Views
RIP Typewriters: Last Manufacturer Closes Its Doors by Todd Wasserman 22 Joining other discarded technologies of late, including the Flip video camera, Kodachrome, and the humble floppy disk is...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Fews days back tumejadili na wanaamv ihili kujadili mada zinazohusu mobile data service. Kuna misamiti makampuni ya simu naona yanatumia kuvutia wateja kama vile 4G au 3G. lakini je tujiulize...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wiki chache zilizopita niliandika Sekta ya elimu inaweza kufanya nini kufukia mashimo katika uzi huu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
tafadhali kwa yeyote anayeweza kunisaidia: ni kwamba ninayo CD yenye software ya program ya virtual DJ(atomix productions) ambayo nili-install kwenye computer yangu(windows XP) na ikawa inafunguka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sensitive personal details of tens of millions of internet users have been stolen by hackers in one of the biggest ever cases of data theft, it has emerged. Fraudsters have obtained data on...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada kwa wanaofahamu ni mahesabu gani yanayotumika kutambua kiwango gani cha AMP zinazotakiwa kuendesha ukubwa wa solar kulingana na na WATTS zake mfano: solar ya watts...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF kama kuna mtu anafahamu juu ya ku-print scrn na ku-paste bila ya window kuonekana, yaani niweze kupaste kile ninachokihitaji bila kuonekana vitu ambavyo nimeminimize.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumai wote mu wazima wakuu. Kwanza ningependa kuwashukuru wote kwa michango yenu yenye burasa, mbarikiwe sana na muendelee na moyo wa kusaidiana. Mimi ni kijana ambae nasoma form five kwa sasa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana technologia, nina pc yangu aina ya ibm,nlikuwa natumia jana gafla ile batan ya start ikapotea nika restart lakini imekuwa vile vile: N:b nili install avg antvirus ikasababisha comp...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
By Jay Yarow | Apr. 25, 2011 Steve Jobs has fired off one of his characteristically terse emails in response to the furor around Apple keeping location data on iPhone users. Jobs supposedly...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
:panda::panda::panda::panda: The new price of modems is Tsh 25000 Weekly - 500MB @ Tsh 8000 Monthly - 500MB @ Tsh 10,000 Monthly - 2GB @ Tsh 40,000
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani nilisikia kuwa kuna program inayofanya cd ya playstation i play kwenye PC. Naomba kujua jina la hiyo prog na jinsi ya kuidownload kama kweli ipo. please wana jf tushee knowledge!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…