mfukunyunzi
Senior Member
- Mar 4, 2011
- 142
- 26
Wataalamu wa haya mambo naombeni msaada wenu tafadhali. Nilikuwa nataka kufahamu kama kuna madhara yoyote kwa computer endapo utaiwekea operating system au window zaidi ya moja. Kwa mfano uweke window xp na vista, linux na vista, au uweke zote tatu kwenye comp moja kama vile vista, ubuntu, na linux. Je ni salama kwa computer kwa upande wa hardware na software?