Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

1. Kuhamisha namba za simu kutoka kwenye phonebook kuhamishia kwenye computer na kuzitoa kwenye computer kurudisha kwenye simu? (hii ni kutokana na kupoteza simu na kupoteza contacts muhimu 2...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeandika html form yenye Name,Email and iquiry(textarea) sasa nataka ku validate form hiyo kutumia Javascript . Najaribu without success.Then nikiweza nitumia tena php kuvalidate Share your...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Here you go.... Watch free movies on Free Movies Cinema
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama uko Dodoma kuna mtu wangu anatafuta lap top yenye uwezo mzuri mfano iwe na 1GB of ram na Hard Drive yenye storage kuanzia 60GB kwenda mbele. Ametoa laki 3. Jaman kama kuna mtu wa kihivyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wadau wa jamii forum. ningependa kujua kama kuna mtu mwingine ambaye ana blackberry ambayo its under verizon, or at&t storm 2 9550 kama anaweza kupata any BIS service either through vodacom...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
mambo vipi wakuuu nilikuwa ninauliza wapi nitaweza kununua ps3 games kwa bei nafuu?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kompyuta yangu inatumia windows 7. Wiki iliyopita iliniletea meseji inayosema WINDOWS 7 BUILD 7600. THIS COPY OF WINDOWS IS NOT GENUINE. Baada ya meseji hiyo kutokea, ghafla screen ilibadilisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF? Naomba kupata video tutorial za jinsi ya kutumia Visual studio 2010 na NetBeans 7, effectively.. Kama una link au unazo mahala popote please naomba msaada wako.. Nataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana taaluma ya IT JF, Wasaalam, nimeandaa tool moja kwenye excel kwa ajili ya matumizi ya kifedha, sasa nimecreate collum inayoonyesha kama utazidisha matumizi basi matokeo ni kuwa jibu litakuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu wakuu..ningependa kufahamu kama the new tiGO internet iko fast and reliable as they say it is because nikicheki the service wanayonipo on my phone naogopa kuinunua. I know wana advertise...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
msaada.............nawezaje kuweka password kwenye folder mtu mwingine asiweze kufungua hiyo folder
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jf Naomba maelekezo juu ya kuanzisha account ya bank online na uweza kuingiza fedha online na kuweza kutoa fedha online.Thanks
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dear friends, I am hoping to find someone with some good local experience. I have some dear friends in Dar es Salaam near Kilwa Road and Mbagala Road who are trying to decide which wireless...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
If the best you can do when you're caught between the moon and New York City is fall in love--as the treacly eighties pop song had it—it seems safe to say that among the worst experiences you...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
  • Closed
Mambo wadau. ninazo line za tiGo ambazo unatumia Internet access ya buree(UNLIMITED 3.5G speed). waweza unganisha Kwenye modem yoyote inayokubali line za GSM. Kupata hizi line inatakiwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kutokana na mgawo wa umeme uliotangazwa na hali halisi inavyoendelea, nalazimika kununua genereta kwa ajili ya biashara ya internet cafe na secretarial services niliyonayo Arusha. Vifaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
modem ya zantel huawei ec168c inakataa ku-connect kwenye ubuntu 11.04, naombeni msaada.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nataka kujenga kanyumba kangu ka room 4 ama 5 hivi. Najaribu kutafuta ramani kwenye google lakini nashindwa kupata. Naomba msaada jinsi ya kupata ramani za nyumba kwa kuzingatia...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wataalamu wa haya mambo naombeni msaada wenu tafadhali. Nilikuwa nataka kufahamu kama kuna madhara yoyote kwa computer endapo utaiwekea operating system au window zaidi ya moja. Kwa mfano uweke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WADAU NAOMBENI MSAADA NAMNA YA KUCHAKACHUA HIZI MODEM MPYA ZA airtel HUAWEI E153
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…