Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

speed imeongezeka ajab!mchana kweupe napata had 250kbps!let me enjoy it while it last!
0 Reactions
24 Replies
3K Views
mazee nilijichimbia mpaka kimeeleweka .utamu zaidi baada ya kuichakachua unatumia free internet . Masikio yako yawe karibu nami
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
www.JigambeBlogs.com ni web application ambayo inafanya kazi ya kuunganisha bloggers na advertisers. Inawezesha bloggers kulipwa kwa ajili ya kuandika posts zinazosifia bidhaa au biashara au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wana jf, naomba yeyote mwenye ujuzi hapa tafadhali.nina modem ya sasatel,ila nashindwa kuiunganisha kwenye mtandao,nimefanya procedure zote lakini nikiconect inaleta meseji kwamba ...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu nimeletewa zawadi ya kitu kinaitwa bluetooth stereo headset sasa Jinsi ya Kuoperate Imekuwa ishu sana Msaada Tafadhari
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba mwenye keys za office 2010 32 bit plssssss
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kitu huwa nakiona katika laptop adapters nyingi. Huwa ni kama cha duara hivi na kinawekwagwa kabla ya pin ya kuchomeka adapter katika laptop. Sasa nimeshindwa kuelewa ni cha kaz gan na kina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
GPS locator aina ya MAGELAN(EXPLORIST 100) Zinauzwa kwa tsh 100,000/= (laki moja tu). Kwa anayehitaji anicontact kwa namba 0682007117. Ni mpya kabisa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nitapataje? NOKIA 5800 music express touch screen kwa bei nafuu hata kama ni used ili mradi iwe nzima.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wadau naombeni mnisasidie nijue namna ya kudownload miziki kutoka kwenye web mimi ni mpenzi wa miziki lakini sijjui nifanyeje , msaada wadau na wapenzi wa muziiki
0 Reactions
6 Replies
5K Views
wajuzi jamani nimeshindwa kufanya installati kwenye window 7 royale xp, printa yangu ni hp laserjet p 2015. Installation naifanya kupitia network. Inapofikia kwenye kuchagua product, selection...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu majuzi Aunt wangu alialikwa na binti yake kwenda USA kwa matembezi, akaja akafikia kwa mwanae wakike mwalimu, wakaanza mchakato wa safari. Walihangaika sana kwa takribani mwezi wasijue...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefikiria nianzishe post hii kwa watu wenye mapenzi mema tubadilishane vitu tunavyoweza kubadilishana bure kabisa ikiwa ni pamoja:- 1. Software 2. Vitabu mbalimbali 3. Details za kupata chuo...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Sharp Makes World's First 7680 x 4320 Resolution LCD - Softpedia
0 Reactions
0 Replies
900 Views
:a s 103: habari za mida hii.. Jamani naomba serial keys za karsperksy 2011
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana great thinkers.nina cm yangu aina ya sumsung sgh 70 3G, imevunjika display na nimetafuta nimekosa.sasa nataka nibadili matumiz niifanye modem.vp inafaa niifanye modem?nina cd prgm yake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
P-O-R-N BLOCKER is a powerful software application used for blocking pornographic material. It will protect your family or classroom from inappropriate material on the Internet. If inappropriate...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalam wanajami na wadau wa jukwaa la teknolojia . Leo naedelea kuleta mada za Tovuti Nianze na maswali .au julize maswali haya Je Unajua thamani( value) ya tovuti kama...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
program is a very good tool that can be used to steal votes during elections especially during the tallying. What can be done is just taking the input votes deduct X% from W, R and Z send to C...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…