Waheshimiwa nimedownload file lenye extension .rar kwenye komputer nikitaka kuunrar linaniletea sehemu ya kuingiza password, na mimi sina password. je ntafanyaje nipate kufungua? Msaada tafadhari...
Ndugu wapendwa,
Hiyo website hapo juu imekuwa ikitusaidia sana kujua kodi ambazo kwa muagizaji wa gari toka nje anapaswa kulipa. Ila kwa hv majuzi imebadilika. Tulizoea kuweka fields za mwaka wa...
Washirika hamjambo the greatthinkers? Natafuta software ya autodesk autoCAD electrical compatible na win7 64-bit. Yeyote anaweza kunisaidia jinsi ya kuipata.
Habari za kazi wakuu!!
naomba msaada jinsi gani naweza kudownload google earth toka kwenye internet na kuiinstall kwenye laptop
natanguliza shukrani zangu
hello guys,
nimekuwa ni kitumia hii ping utility almost for a long time ila my question is how do i calculate RTT?(round trip time)
and what does TTL mean in ping?why do these TTL differ ukiwa...
Wakuu,
Nimetengeneza blog ila tatizo kila nikiiangalia naiona kama ipo local, Naomba maoni na mawazo yenu nifanyaje ili blog iweze kuwa na visitors wengi per day na iwe na muonekano mzuri. Blog...
Plz kuna jamaa yangu yupo mwanza anatafuta used computer inayo range laki 3 hadi laki 3.5...specification kama ni Desktop: Hdd 120GB au above,Monitor Hp 17". Kama ni laptop iwe ni Hp/dell hata...
Natumai mpo poa wote! Nnatatizo 1 ambalo huwa nnapotumia mozila firefox kuingia ktk account yangu ya facebook inafunguka vizuri bila shida, sasa tatizo linatokea nnapokuwa nnachat na marafiki...
habari wana jamii?
Tafadhali mwenye software ya canon photocopy iR2016 anisaidie wandugu. Mimi nipo mtwara na nina hii machine nashindwa kuitumia.
natanguliza shukrani zangu
Nilidondosha laptop yangu Dell Inspiron 1525, ikaharibika kioo nikanunulia kingine ila kila mara natakiwa kuadjust mwanga badala ya yenyewe kutoa mwanga wa kutosha hata ukichomeka chaja kwenye...
Warning LAPTOP CAN COST YOU LIFE This is very crucial READ IT ALL A well-known family lost their 25 year old son in a fire at home. This is what happened: He graduated with MBA from...
wakuu na wawezeshaji wote wa JF poleni na kazi na nawatakia kila la kheri na kazi .
nina wazo jipya sina uhakika kama litakuwa jipya kwa kila mtu , lakini nitajaribu kulielezea kwa kadri...
Wadau nimejaribu ku download hii software lakini mwisho wa siku inakuja iliyo compatible na windows xp ambayo hai enable "Download this video". Nielekezeni cha kufanya tafadhali