tumia mozila alafu ulinganishe hata na speed ya ufungukaji wa site mbalimbali piaKiboko ya hao Wote ni huyu hapa SAFARI WEB BROWSERApple - Safari - Download the world
safari mwisho wa habari
Google Chrome is very secured
Without a doubt, Google Chrome is more secured than both Firefox and IE. I like how they have built Chrome using a sandboxing technique that prevents unwanted software installing itself on your machine and stops what happens on one tab affecting what happens on another. Even hackers have hard time breaking into Chrome!!is it very secured compared to Firefox or IE or what.????? By the why what are factors to look for in browser security?
Mozillafirefox ilikuwa zamani nzuri wakati kulikuwa hakuna google chrome. mozillafirefox inakula sana memory nimesha wahi kutumia Mozillafirefox zaidi ya miaka 10 iliyopita sasa hivi mozillafirefox imepitwa na wakati, Safari web Browser ipo Safe huna wasiwasi na virus Spyware haina mambo ya Pop Up iko nzuritumia mozila alafu ulinganishe hata na speed ya ufungukaji wa site mbalimbali pia
aminia ********* wa ukweliWithout a doubt, Google Chrome is more secured than both Firefox and IE. I like how they have built Chrome using a sandboxing technique that prevents unwanted software installing itself on your machine and stops what happens on one tab affecting what happens on another. Even hackers have hard time breaking into Chrome!!
Hayo ndio matatizo ya mozillafirefox google toolbar for Firefox kwa sasa bado haija Updates subiri mpaka hao Google toolbar wai Updates iwe inafanana na hiyo firefox 5 mkuu tumia hichi kitu Safari web Browser au tumia google chrome achana na mozillafirefox imeshapitwa na wakati .nilikua natumia firefox 4 ila sasa nimedowload firefox 5, sasa google tool bar yangu ambayo huwa na sarve mambo meng imepotea baada ya ku upgrade hi 5.0, any help plz?
Safari ipi ipo slow? umeshawahi kutumia Safari? Google chrome wakati mwengine unapotaka kutafuta kitu kwa kupitia Google Search engine inakuwa hai Respond web Browser inakukataa kukipata hicho kitu unachokitaka au inaweza kukatika internet Connection lakini safari haina mpango huo hata mara moja uliza kitu itakujibu ipo Safe Safari kwa kila kitu.Safari ipo slow sana!