how to link cr in paypal- anyhelp please

Change_it

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
279
83
msaada jinsi ya ku link credit card kwenye paypal, nimejiunga na internet banking ya crbd,bt still inazingua.
 
Kama ndio umejiunga inatakiwa ukae masaa 24 hadi 36 ndio inakuwa active online then unajisajili paypal.com kwa kujaza fomu so wao wataangalia kama kadi yako iko online kama haiko online hauwezi kujiunga nao.
 
Vipi na NMB wanayo huduma kama hii (buying online services)?
 
Back
Top Bottom