Laptop inashindwa kuwaka

Laptop inashindwa kuwaka

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
Nina laptop HP ina AMD Turion processor. Tatizo lake ni kuwa unapoiwasha inakuwa kama inawaka halafu inajizima na kutaka kuwaka tena . hiyo process inajirudiarudia hivyo hivyo. mara nyingine inaweza kukaa hata nusu saa ndipo iwake. na mara nyingine inagoma kabisa kuwaka. Naombeni ushauri wenu.
 
Tatizo linaweza likawa processor fan inazima na kuwaka
 
Back
Top Bottom