Apple Pays First iPhone Compensation
Apple has made the first compensation payment to a user of its popular iPhone over the collection of location data without consent.
Apple Korea agreed to...
HOPE MKO POA IT ENTHUSIASTS WENZANGU,
NIMEFANYA KAUTAFITI KADOGO KUHUSU CCTLD (COUNTRY CODE TOP LEVEL DOMAIN) YA TANZANIA YAANI .CO.TZ
IPO WAZI NA INAELEWEKA ISSUE YA DOMAINS NA SUB-DOMAINS...
How To Get The Current Date and Time In Excel
Question:
Is there a way to get the date and time automatically by creating a formula?
Answer:
This is an easy one - use =NOW() to get the current...
Mimi ni mtumiaji wa apple products (iphone, ipod ...), leo nlikuwa nabrowse appstore, nkasearch "swahili", then nkapata results apps za kiswahili, hicho kilinifurahisha, lakini kilichonisikitisha...
Naomba wataalam mnisaidie, laptop yangu najaribu ku access internet kwa simu yangu C2-01 kutumia bluetooth, software ya Nokia niliyonayo ikijaribu kuunganisha inashindwa inataka niweke cable au...
Wadau yahoo inanizingua kila nikitaka fungua mara nyingine nikifungua tu inaandika "server hangup" au nikifanikiwa kufungua nikiklik kwenye mail inaandika "connection closed by remote server"...
Whether at home from your Internet box or on the move from a free or paid hotspot, it is possible to connect to the Internet using a WiFi connection. If your mobile phone (or smartphone) is WiFi...
Waheshimiwa nimedownload file lenye extension .rar kwenye komputer nikitaka kuunrar linaniletea sehemu ya kuingiza password, na mimi sina password. je ntafanyaje nipate kufungua? Msaada tafadhari...
Ndugu wapendwa,
Hiyo website hapo juu imekuwa ikitusaidia sana kujua kodi ambazo kwa muagizaji wa gari toka nje anapaswa kulipa. Ila kwa hv majuzi imebadilika. Tulizoea kuweka fields za mwaka wa...
Washirika hamjambo the greatthinkers? Natafuta software ya autodesk autoCAD electrical compatible na win7 64-bit. Yeyote anaweza kunisaidia jinsi ya kuipata.
Habari za kazi wakuu!!
naomba msaada jinsi gani naweza kudownload google earth toka kwenye internet na kuiinstall kwenye laptop
natanguliza shukrani zangu
hello guys,
nimekuwa ni kitumia hii ping utility almost for a long time ila my question is how do i calculate RTT?(round trip time)
and what does TTL mean in ping?why do these TTL differ ukiwa...
Wakuu,
Nimetengeneza blog ila tatizo kila nikiiangalia naiona kama ipo local, Naomba maoni na mawazo yenu nifanyaje ili blog iweze kuwa na visitors wengi per day na iwe na muonekano mzuri. Blog...
Plz kuna jamaa yangu yupo mwanza anatafuta used computer inayo range laki 3 hadi laki 3.5...specification kama ni Desktop: Hdd 120GB au above,Monitor Hp 17". Kama ni laptop iwe ni Hp/dell hata...
Natumai mpo poa wote! Nnatatizo 1 ambalo huwa nnapotumia mozila firefox kuingia ktk account yangu ya facebook inafunguka vizuri bila shida, sasa tatizo linatokea nnapokuwa nnachat na marafiki...