Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,033
waungwana jamani mnielekeze niweze kuunganishi simu yangu aina ya blackberry curve 8520, software ya kuitambulisha nimeiweka
sijui mtandao wako ni aina gani lakini nilijaribu kwenda Airtel wakasema wanayo CD unawekewa kwa laptop **** na waweza itumia kama moderm. Jaribu kuwatembelea provider wako aweza kuwa nayo.
Nunua Blackberry Playbook tablet, kwa vile utafanya kule kinachoitwa Blackberry Bridgena kutumia Bridge Browser kusurf net na BB kwenye massive 7" Screen, pia itakuwa rahisi kwenye suala la gharama. Hii ikiwa BB yako ina BB OS 5 kwenda mbele.
Option nyingine download app kwenye Blackberry App World inayoitwa Tether Bridge for Blackberry au app yoyote ambayo itakuruhu kufanya tethering na kuitumia simu yako kama modem. halafu fuata maelekezo. Tether Bridge ni bure kuijaribu, halafu inabidi utoe senti kidogo kama utaipenda.