Msaada jinsi ya kudown load google earth soft ware na kuinstall kwenye laptop

laplap

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
27
Reaction score
0
Habari za kazi wakuu!!

naomba msaada jinsi gani naweza kudownload google earth toka kwenye internet na kuiinstall kwenye laptop

natanguliza shukrani zangu
 
Acha uvivu bosi, Google hiyo makitu pakua installer app yake then unai-run. Hakikisha una connection nzuri (kama ni bundle liwe la kutosha)
 
asante mkuu kwa msaada
 
Back
Top Bottom