Wakuu hebu toeni mchango wenu kuhusu hili la .co.tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu hebu toeni mchango wenu kuhusu hili la .co.tz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Firefox, Jul 14, 2011.

 1. Firefox

  Firefox Senior Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  HOPE MKO POA IT ENTHUSIASTS WENZANGU,
  NIMEFANYA KAUTAFITI KADOGO KUHUSU CCTLD (COUNTRY CODE TOP LEVEL DOMAIN) YA TANZANIA YAANI .CO.TZ

  IPO WAZI NA INAELEWEKA ISSUE YA DOMAINS NA SUB-DOMAINS, KWAMBA YULE MWENYE OWNERSHIP YA DOMAIN FLANI ANAWEZA KUSAJILI A LOT OF SUBDOMAINS, KWA MFANO JAMIIFORUMS.COM YAWEZA KUWA NA SUBDOMAINS NYINGI KAMA ADMIN.JAMIIFORUMS.COM, MAIL.JAMIIFORUMS.COM ETC. NA NDIO MAANA JAMAA KAMA WALE WA CO.CC WANATOA BURE DOMAINS ZENYE CO.CC AS MTU ATAESAJILI ANASAJILI AS SUBDOMAIN.

  BACK TO OUR CASE:

  IPO WEBSITE AMBAO NI TOP LEVEL DOMAIN KWA SITES ZA TANZANIA YENYE DETAILS ZIFUATAZO:
  Yenyewe ni: www.co.tz
  ip yake: 81.199.112.225 [Ping www.co.tz ]
  ambayo inaonekana ni ya kampuni ya: Microlink Technologies Ltd iliyoko Zambia
  KWA SUALA HILI INAONEKANA KAMA MTU AKIWEZA KUI-HACK CONTROL PANEL YA HAO MICROLINK (WENYE .CO.TZ) WALIOKO ZAMBIA, BASI ATAKUWA NA UWEZO WA KUZIANGUSHA DOMAINS ZOTE ZENYE EXTENSION YA .co.tz

  MNALIONAJE HILI WAKUU, JE NI SAFE KUSAJILI .CO.TZ KWA STYLE HII??? WENZETU KAMA WAINGEREZA, .CO.UK INAONEKATA HAIKO ALIVE KABISA COZ HATA UKI-PING .CO.UK, ITAKUAMBIA HAIJAONA CHOCHOTE.

  MCHANGO WAKO UTATUSAIDIA WENGI.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280


  Check out IANA/ InterNIC guidelines and RFC (RFC 1591) na ISO-3166. RFC 1591 imeelezea vizuri sana hili na ku adress suala la top level domain squatting.

  http://www.rfc-editor.org/rfc/rfc1591.txt

  Ila kama kweli top level domain wa .tz yupo Zambia that in itself is concerning and ground for dispute.
   
Loading...