www.gariyangu.com TRA CALCULATIONS

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Ndugu wapendwa,
Hiyo website hapo juu imekuwa ikitusaidia sana kujua kodi ambazo kwa muagizaji wa gari toka nje anapaswa kulipa. Ila kwa hv majuzi imebadilika. Tulizoea kuweka fields za mwaka wa gari, displacement, CIF nk ila kwa sasa [baada ya kuiupdate hii website] field ya CIF haipo sasa waungwana, TRA wata estimate vipi kodi bila kujua CIF ?
Msaada please
 
wamekosea naona, ukifuata link ya tra utaona cuwa cif inatumika kwenye calculations
 
Ndugu wapendwa,
Hiyo website hapo juu imekuwa ikitusaidia sana kujua kodi ambazo kwa muagizaji wa gari toka nje anapaswa kulipa. Ila kwa hv majuzi imebadilika. Tulizoea kuweka fields za mwaka wa gari, displacement, CIF nk ila kwa sasa [baada ya kuiupdate hii website] field ya CIF haipo sasa waungwana, TRA wata estimate vipi kodi bila kujua CIF ?
Msaada please

Mkuu Mputa,
Evaluation imebadilika kwa sasa ili kuleta mlingano wa tathmini ya gari husika. Hii ni kusema kwamba leo hii waagizaji wa aina ya gari inayofanana na mwaka ule ule tutalipa ushuru sawa bila kujali wewe umenunua gari kwa bei gani na nani amefanya evaluation.

Ikiwa Invoice value uliyoonyesha ni kubwa kuliko evaluation yao basi wanachukua invoice value yako lakini iwapo invoice value yako itasoma chini ya evaluation yao basi wana-uplift customs value ya hiyo gari be it Horiri, Dar, Tunduma etc

Soma tangazo lao hapa walilitoa muda kitambo kidogo.
 
Attachments

  • custom value computation.pdf
    211.1 KB · Views: 449
hata ukiingia kwenye web ya tra kuna kila kitu!mm nilijaribu ku calculate tax ya kimeo changu nkakuta inakaribiana na ile kodi niliyolipa!hapo naona usumbufu na rushwa zitakoma hapo longroom
 
Unaweza download majedwari yote mawili (1) Price list inayoonyesha bei ya gari ambayo TRA inatumia kukokotoa depreciation na kodi pia.
(2) vehicle valuation ambayo ni jedwali lenye kukokotoa kodi ya gari
 
Back
Top Bottom