Movie za Kibongo (swahili movies) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Movie za Kibongo (swahili movies)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by yutong, Jul 12, 2011.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani nauliza movies za kiswahili hawajaanza kuupload? wapi naweza download kama movie nyingine za kizungu/kichina?
   
 2. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  greatlakesmix.com
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha mambo ya kizamani kanunue tape nyie ndio mnanyonya afu ksho mwawacheka oh hawaendelei puf.!
   
 4. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wataendeleaje wakati wanazidisha starehe tu? Sio kila kitu kununua tu kaka! Usawa wenyewe huu CCM wameshakomba kila kitu hela zenyewe na manati na mawazo. Isingekuwa kuiba technologia na kazi za watu China wasingeendelea

   
Loading...