Wandugu ninayo desktop yangu,nikiweka hard disk drive haisomi hata kwenye boot device haisomi but nikiiweka kwenye other desktop inafanya kazi, tatizo lipo wapi,hard disk ni ya sata windows ni...
Does any one knows how to remove an old firmware of a memory card coz hawa wachina wanaweka firmware ambayo iko weak sana virus wakingia kidogo tu inakuwa ni ya kutupa maana hauwezi kuiformat wala...
wakuu heshima mbele nimeona niweke hii kitu kwenye page moja kupunguza msongamano wa page humu nakaribisha maoni kama umeipenda na umenufaika pls usisahau kunigongea thanx
motorola w220
display...
Habari Yenu,
Mimi nimekuwa configured internet connection ya DSL ya TTCL 1MBps Unlimited lakini chakushangaza speed iko low sana ni chini kabisa yani si stahiki kulipia 110,000 halafu speed iko...
Jamani kama knaabiria aliyepanda gari la UCC Dar es Salaam branch alipakulie full detail za pale nikmanisha ufndshaji wao, materials, practices na performance yao na after xul vip ukienda field...
Jamani naomba kuuliza!Nina desk top yangu inaukubwa wa 120gb.Haina partition.Je naweza kufanya partition bila kupoteza data zangu nilizonazo kwenye hiyo HDD?
Laptop yangu (HP pavillion dv 9000) ina matatizo ya kuwaka. Fundi ameicheki akanishauri kuwa suluisho ni kubadilisha motherboard. Naombeni msada wenu wakuu.
Wanajamvi,
Naomba mwenye utaalam wa kuunganisha Samsung IPhone GT19000 kwenye vodacom internet anielekeze maana nimeshawapigia mara nyingi kila muhudumu na maelekezo yake.
Natanguliza shukrani
Natafuta software tajwa hapo juu kwan niliyonayo haina baadh ya pic kama pic18f887. Mwenye link naomba aniwekee hapa tafadhal niweze endelea na maprograming kwani nimekwama kwa sababu hiyo.
kama nlivyo ona kweny hii blog Antivirus with 1 year activation key ~ Tz downloads avast untivirus for free na keys za activation ziko ila lazma uwe mtumiaji wa internet ndio itafanya kazi...
Habari JF.Baada ya kupitia forums mbalimbali na kuongea na wa2 kadhaa imenishawishi kuandika thread hii.Sasa ninaweza kusema kwamba inawezekana kupata channels za dstv bure.Camini kama hakuna...
Wadau mu hali gani?
Niliwahi kuuliza hapa jamvini kuhusu tatizo la ubuntu kwenye Hp pavilion dv5-2155dx yangu
kushindwa kupata option ya write click na left click.
Kwa kuwa nilikuwa nimeinstall...