JE?UNATAKA KUWA PROGRAMMER FOR WHATEVER THE COMPUTER LANGUAGE IS CONCERNED?plz just b aware of these | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JE?UNATAKA KUWA PROGRAMMER FOR WHATEVER THE COMPUTER LANGUAGE IS CONCERNED?plz just b aware of these

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by XOXOQY, Aug 22, 2011.

 1. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wengi tunapenda kuwa ma-programmer hasa wa lugha ya computer(computer language)kama vile c++,JavaScript,
  xhtml,html,php n.k.
  Lakini tatizo tunataka kuyafahamu hayo just for over night,wakati jambo hilo ni gumu hata uwe intelligent kiasi gani.
  Wenzetu waliumiza vichwa kwa muda mrefu sana hadi wakafikia hapo walipo.
  Kwa wale wanaotaka kujifunza taaluma hii yawapasa wafahamu yafuatayo
  1.inabidi kujitoa kiakili,muda,kifedha.
  2.juhudi inahitajika(efforts)
  3.usikatishe katishe mafunzo bila sababu
  4.Usiwe mwoga pale unapoona mwenendo wa uelewa unakuwa mgumu,jitahidi(and YES u can).
  5.Pale unapoelekea kushindwa jishangae na ujiulize" why not you mbona wengine wanaweza?"
  6.uwe na vifaa mfano computer(yenye speed),modem n.k
  7.Jifunze taratibu hatua kwa hatua kwasababu slow feeding of the brain is longer and intensive existence of the memory within the brain itself!
  ndo maana secondary tunasoma miaka minne ila tungeweza kusoma hata miwili au mmoja!
  8.Huwezi kujifunza lugha ya computer and to become an advanced professional just from reading material NO you need much practice!
  9.Si laziama ujifunze advanced computer language programming,you just go for the BASIC computer programming itakupa msingi mzuri.

  10.FAHAMU KUWA WAJANJA WA MAMBO YA PROGRAMMING WAMETENGENEZA SOFTWARE ZA PROGRAMMING AMBAZO ZIMETULEMAZA WENGI,MTU ANAJIKUTA ANATENGENEZA WEBSITE LAKINIHAJUI HATA KUCHAPA SIMPLE CODE LIKE <b>boldtext</b> alafu anajiita a programmer!
  "you wont be a website designer,or a computer language programmer if you dont know even coding,you will just remain on applying not designing"

  MWISHO KABISA.Software za programming zinatusaidia kufanya kazi hizi za programming kwa haraka na urahisi!(si vibaya kuzitumia)kwani ni vigumu kuchapa code ya website nzima mfano JF.NI VIZURI KUWA DEREVA WA GARI HUKU UNAJUA MFUMO MZIMA UNAO FANYA GARI,LITEMBEE ILI LIKIHARIBIKA HATA KIDOGO UJUE UANZIE WAPI NA UISHIE WAPI KATIKA KUREKEBISHA TATIZO?
  JUST PM ME KWA SWALI AU KAMA PIA UNAPENDA KUJIFUNZA PROGRAMMING ZA SQL,HTML,JAVASCRIPT,XMHLXML AND PHP for website designing.OR YOU CAN EMAIL ME
  datetz18@yahoo.com
  ALL THE BEST
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Good one, by the way!
   
 3. HT

  HT JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  html and xhtml are not programming languages. They are markup languages. There is no html variable, loop nor cotrol structure. No money is needed than for PC/Laptop and simple internet conncetion if you don't use commercial languages. IDE is almost part of becoming pro devel though not essential. Otheriwse, there are many good advice in your post
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Nina basic au intermediate knowdege na haya mamboya web programming lakini kuna kitu nataka nikifanyie majaribio.Nacho ni multiuser online board game.

  Mfano nataka watu wawili tofauti wakitembela kaweblog kanguka mazoezi waweze kucheza game. just simple game kama Tic Tact toe au hata draft.

  Nimewai kufuatilia melekezo kwa kutumia java applet nikafanikiwa lakini haikuwa multi user game ni mtu anacheza program. So nataka nijue ili watu wawili wacheze requirement ni zipi?

  Sasa je unaweza kutoa ya link au kutoa darasa nini kinahitajika kunwezesha kuweka ka board game ammbako katawezezeha mtazamaji na XOXOQY au mtu yeyote kucheza.

  I mean kama ninayo code ya game amabyo "mtazamaji " anaweza kucheza na computer naweza kubadilisha vipi iile session ya computer ichukuliwe na user mwingine aliyepo online

  [​IMG]

  Nadhani unakumbuka huu mchezo simple
   
 5. Riley_Yung_Rizy

  Riley_Yung_Rizy Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh hata siwaelewi mnaongelea nini nimeachwa gizani,sijui ndio ushamba au ujinga :'(
   
 6. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  &amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
  &amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
  i have seen this in drafts games,where by after the first user moves the plate,he places enter and the page loads and the second user in other side will see the response and he will play the same as the first user.that is the process hii systeme inawezekana lakin kwa ufahamu wangu nadhan ni lazima uwe na software maalumu za ku-drive game ambazo zinakuwa installed katika saver(game driver software),ambapo kuna kampun ambazo zinajihusisha na michezo ya namna hii mfano SONY ambazo zinatumia saver zake kuendesha michezo kama hi.plz just google it for more information or follow this site www.ehow.com/m/how-does_4619893_online-rpg-game-work.html
   
 7. mazd

  mazd Senior Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Good!-Not anyone can be best programmer but best programmer can come from anywhere-Welcome to my Community(NOKIA Qt Developer) if you need serious and profitable programming challenges-I mean you can sale your software to ovi store as I do, and get free development Kits from NOKIA.For more Email me not PM. Hermitscorp Laboratory
   
Loading...