je competition imehamia kutoka kwenye computer market to mobile phones market? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je competition imehamia kutoka kwenye computer market to mobile phones market?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Aug 24, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  mimi navyoona sasa hivi competition kubwa katika makampuni yanayo tengeneza vifaa vya electreonics imehamia kwenye utengenezaji wa smart phones. kwa sasa kila kampuni inajitahidi kutengeneza smartphones zenye kuvutia wateja ili iweze kuteka soko la watumiaji wa smart phones.
  haipitit miezi hata mitatu bila kusikia muundo mpya wa smart phone sokoni. achana na watengenezaji wa smart phones pia competetion ya os za smart phones na tablets imeongezeka zaidi kuzidi zamani.
  nahisi huko tunapoelekea mambo yatakuwa kwenye simu zaidi ya computer maana sasa hivi asilimia 50 walau ya mambo yako waweza ya malizia kwenye simu.
  au wadau mnaonaje
   
 2. i411

  i411 JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Apple CEO Steve Jobs yeye alisema we are in post pc world miezi michache iliyopita alivyo onyesha Ipad2. lakini habari kutoka China zinaonyesha yaani computer huko ndio bizaa inayonunuliwa zaidi kushinda kokote kule duniani nafikiri hii itakuwa pia sawa na India na afrika. Nchi zilizoendelea vitu kama ipad na masmatfones zimekula sana soko la komputer huko wanaweza kuwa wanaelekea ulimwengu wa pc free. Kwa wakina siye ndo kwanza tumeanza kuchakachua itatuchukua kimuda kidogo.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Smartphone ni market mpya kwa hiyo opportunity ni kubwa kuliko PC, PC nchi walizoendelea karibia kila mtu anayo tayari.
  Simu na tablets haziwezi kureplace kompyuta kwa mtazamo wangu ni complement tu, zaidi kwa ajili ya entertainment na distactions sio vifaa productive kama kompyuta.
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mobility, portability -- on-the-go.
   
 5. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mobile 4ns r evertng..v cmpl,affordable..na huu mgao hata pc yangu cna raha nayo kbsa
   
 6. HT

  HT JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ahahaaaa, PC free world? Welcome to utopia dream!
   
Loading...