Msaada kuhusu Ant-Virus katika TOSHIBA

mfukoz

Member
Aug 11, 2011
35
4
Nimenunua laptop mpya aina ya TOSHIBA ila bado sija-install Ant-Virus msaada niliokuwa nahitaji ni kwamba:Nikidownload Ant-Virus kwenye mtandao then nika-install je kutakuwa na usalama kweli wa computer yangu;Ama ni bora kununu package ya Ant-Virus na ku-install na ni aina gani ya Ant-virus ambayo iko zivuri kiutendaji kulinganisha na zingine.Nalabda kama kuna ushauri mwingine katika hili nitashukuru nawakilisha wanajf.
 
Microsoft Security Essential ndo komesha ya kila kitu!!Freely provided by MIcrosoft
 
essential is the best actually...free from Microsoft...just Google MICROSOFT SECURITY ESSENTIAL...utaipata!
 
watanzania tumekua wabahili mpakak katika mambo ya msingi nunua kaspersky 20000 tu tena wala hutopata maafa!
 
Nimenunua laptop mpya aina ya TOSHIBA ila bado sija-install Ant-Virus msaada niliokuwa nahitaji ni kwamba:Nikidownload Ant-Virus kwenye mtandao then nika-install je kutakuwa na usalama kweli wa computer yangu;Ama ni bora kununu package ya Ant-Virus na ku-install na ni aina gani ya Ant-virus ambayo iko zivuri kiutendaji kulinganisha na zingine.Nalabda kama kuna ushauri mwingine katika hili nitashukuru nawakilisha wanajf.
wether unataka ku download au ku install new cha msingi chunguza computer yako kama imeathirika na virus. if yes. afadhali ukaiformat kwanza kabla y a ku install antivirus vyenginevyo unaweza kusababisha matatizo mengine. mind that ANTIVIRUS siyo tiba ni kinga..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom