Java software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Java software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by NasDaz, Aug 24, 2011.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Wangwana salaam!!!
  Zaidi ya juma moja hivi sasa nimekuwa nikijaribu ku-download Java Software bila mafanikio! Nimejaribu kufanya downloading kwenye PC mbili tofauti lakini mara zote ina-fail! Hii si mara ya kwanza ku-download JAVA lakini safari hii nashangaa! In short mie ninapokuwa na loose time napendelea zaidi kuchat kwenye triviachat ambako ili ifunguke inadai Java!!! Kunani?! naomba msaada kwa yeyote katika hili, au kama kuna mtu anaweza kunipatia hiyo software!!
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ina fail kwa kukupa ujumbe gani? bila kupata error mesage ni kazi kujua kwanini inakataa . Tatizo laweza kuwa ni huna administrative rights, au kuna connetion problem au security settings kama firewall , etc

  Kufipisha habari jaribu kupakua kutoa hapa na kufuata maelekezo kwenye kiuganishi hiki.
  How do I manually download and install Java for my Windows computer?
   
 3. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Shenzi taipu!!! cjui ilikuwa inasubiria niishitakie!!! etii hivi sasa ndo imejifanya kukubali!
   
 4. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Shukurani mkuu, hata hivyo baadaa ku-post hiyo thread nikajaribu tena na sasa imekubali!!!
   
Loading...