Naomba msaada wenu.!

Naomba msaada wenu.!

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,384
Reaction score
2,208
Natumia SAMSUNG GT - B3410. Naomba msaada wa kuweza kudownload video kwa njia ya mtandao kama vile youtube, etc. Nimejaribu kwa kila namna lakini nashindwa. Naomba msaada wenu wadau kwa hili tatizo.
 
Duuuh.!? Wadau wa hili jimbo mbona kimya namna hiyo.? Saidia baba! Saidia baba!
 
Mkuu hapo itabidi u google kwa sana,
Nimejaribu kugoogle majibu niliyopata ni kuwa simu yako haisapoti youtube videos na sijapata appl unayoweza kuinstall kwa simu yako kudownload youtube.
Labda udownload kwenye pc yako kisha uconvert ndio uhamishie kwa phone yako

Check na hii link, take a note in solution no1 and no6 How to play mp4 video on samsung GT-B3410 - FixYa
 
Back
Top Bottom