Swali juu ya Ugunduzi Mafuta na mitambo ya kuchimbia mafuta

mafuta ndo yaligunduliwa kwanza kwavile yalikuwa yanatiririka tuu juu juu ya ardhi bila kuchimbwa. baadaya walivyotumia sana yaliyokuwa juu juu yakaanza kwenda chini zaidi wakaanza kubuni jinsi ya kuyatoa huko chini ndo mashine mbalimbali zikabuniwa.
 
Back
Top Bottom