Msaada unahitajika haraka....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada unahitajika haraka....!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mbushuu, Aug 24, 2011.

 1. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 733
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Habari wanajf,naomba msaada wenu tafadhari juu ya haka ka' nokia kangu ka' mchina,leo kila nkjaribu kupiga cm inaandika "unable to connect" mwanzo nilifkir ni line kumbe hapana coz nljarbu kuiweka kweny cm nyingine ikafaa lakini nikiiweka kwenye cm yangu mchezo ni ule ule,naombeni msaada tafadhari
   
 2. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 852
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mchina nyingi zinatoa error hiyo kama hamna network or sth of a sort. Jaribu kuangalia Network Selection settings. Kama automatic imeshindwa weka manual halafu chagua mtandao wako.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,867
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Tupa tu. Mchina easy come, easy go.
   
 4. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 733
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Mkubwa bado inakataa,inandika "unable to connect"
   
Loading...