THANKSFundi akikuambia motherboard imekufa kuwa na wasi wasi na utaalam wake. Ni kazi sana ubao mama kufa. Wakati fundi anakaumbia MOBO imekufa tatizo halisi mara nyingi linaweza uwa Kuna power ic au baadhi ya IC ndani ya MOBO ndio zinaweza kufa au kuna vitu vinakorofisha. mfano power suppply inayosambaza moto kwenye MOBO au device kama VGA card tatizo amabalo ni sugu kwenye hizo dv 9000
So kabla ya kutafuta MOBO mpya
- muulize fundi wako amejuaje au ni sababu gani zinamfanya seme mobo ndio imekufa na sio power supply ai ic....?
- tafuta fundi mzuri mwenye vifaa na vipimo sahihi. afungue na kupima njia za hiyo mobo.....
THANKS
Alianza kucheki processor kwanza, akagundua kuwa haina tatizo ndio aka conclude kuwa MOBO ibadilishwe.Tatizo lake ni kuwa inakuwa kama inawaka lakini inashindwa na kuanza tena upya, na inarudia rudia hiyo process. mwanzoni ilikuwa ikirudia rudi baada ya muda inawaka lakini kwa sasa imegoma kabisa.