Wataalam je hii inawezekana kwenye dell gx 270 inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam je hii inawezekana kwenye dell gx 270 inawezekana?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tizo1, Aug 5, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba kuuliza!Nina desk top yangu inaukubwa wa 120gb.Haina partition.Je naweza kufanya partition bila kupoteza data zangu nilizonazo kwenye hiyo HDD?
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  inawezekana mkuu...tafuta kitu inaitwa partition manager( vizuri ukiitafuta kwenye torrents sites manake utaipata na key zake ikiwa trial huwezi fanya kitu) ukipata hiyo install than maelezo yote yapo wazi!
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ipo software moja nzuri na nimeshaitumia inaitwa PowerQuest Partition Magic 7.0 ukiipata hii ukishainstall unaifungua unaenda sehemu ya Resize Partition iuaset size mpya ya drive C:\ then una aply changes kisha unarestart computer itapunguza bila shida yeyote... na data zote zitabaki
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nashukuru,lakini nauliza hakuna njia ya moja kwa moja jamani ya kutumia bila kuweka hizo program?Hakuna njia simple zaid?
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Unatumia windows gani nikupe maelekezo bila hata ya kufunga hizo pgm
   
 7. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  NATUMIA WINDOW XP 2006.
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  tayari nimesha download ulivyoniambia.je,nini kinafuata??msaada tafadhari.
   
 9. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  install uliyodownload, kama itataka ku restart sawa baada ya hapo ifungue iyo program maelezo yanayofuata yanajieleza baada ya kuifungua...!!
   
 10. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  NASIKITIKA SABABU MAELEZO YAKO YAMENIPIGA CHENGA.ILA NIME PAKUA PROGRAM NYINGINE INAITWA EAUSE partition master.inapatikana hapa www.filehippo.com mambo yamekuwa safi!!Nashukurukwa msaada jamani.
   
 11. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nimefanikiwa jamani.Asanten wote.Tena nimepata kitu safii!hakuna matata tena!
   
 12. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nimefanikiwa jamani.Asanten wote.Tena nimepata kitu safii!hakuna matata tena!
   
 13. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Inawezekana ndugu hata kwa free partitioning software. Mi binafsi nilishafanya partitioning kwa kutumia Easeus Partition Master Home Edition, tena ni nzuri kwa netbook sababu unaweza kuitumia ikiwa katika flash disk (usb), si lazima uwe na bootable cd. Inapatikana ktk link bure kabisa.

  Easeus Partition Master Home Edition - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

  Free Download Magic Partition Manager freeware: EaseUS Partition Manager, Disk & Partition Copy and Partition Recovery Software.
   
 14. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Asante sana baba mtu!hiyo programu tayari nilishaipata na mchezo umekwisha.
   
 15. K

  Karzjr Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks nilikuwa sijui
   
Loading...