Modem yangu yanisumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem yangu yanisumbua

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kitabu, Aug 7, 2011.

 1. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu Nina modem ya vodafone,tokea jana,umekuwa kero!!unakuta signal zipo,ila inaniandikia the page has not been found.Sijui kama naeleweka hapa.Tafadhali munisaidie
   
 2. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni websites na web pages zote au ni moja tu. pia ni browser gani unaitumia? pia cheki salio, firewall settings kwenye antivirus unayotumia na kwenye OS yako. Jaribu pia ku reload page au ku restart computer.
   
 3. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  voda inatabia hiyo disconect halafu conect tena baada ya ku conect andalia download speed ya dashboad inatembea? maranyingi inapenda kuwa zero inatembea upload pekeyake ikiwa hivyo chomoa chomeka tena au restat computer kama tatizo linaendelea badili dashboad software
   
 4. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Nashukuru sana mkuu,kwa sasa ipo safi.Natumia browser ya google chrome.
   
 5. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Nashukuru sana,kwa sasa nipo hewani kama kawa....!!!
   
 6. K

  Karzjr Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna ishu inaitwa DFS hii ni software ya kuunlock model vipi mmewaitumia? mnisaidie JF
   
Loading...