Multichoice(dstv) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Multichoice(dstv)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Arselona, Aug 8, 2011.

1. Arselona

Arselona JF-Expert Member

#1
Aug 8, 2011
Joined: Jan 13, 2011
Messages: 638
Likes Received: 15
Trophy Points: 35
Habari JF.Baada ya kupitia forums mbalimbali na kuongea na wa2 kadhaa imenishawishi kuandika thread hii.Sasa ninaweza kusema kwamba inawezekana kupata channels za dstv bure.Camini kama hakuna mwana JF yeyote anayenufaika na mpango huo kwa sasa ila inawezekana waka2shirisha nyuma ya screen,lengo c kuhalalisha wizi bali ni kupunguza makali ya maisha.Najua kuna wa2 watakuwa na mtazamo hac dhidi yangu lakini ukweli utabaki pale pale kwamba d**tv wana2nyonya.Ili kufanya setting unahitaji 1.SOFTWARE 2.DONGLE 3.mpeg4 STRONG DECODER 4.Ku DISHIES.Kikwazo hapa ni kupata hiyo software, wenye nazo wanabana.Kwa yeyote mwenye nayo naomba aniPM

2. Zing

Zing JF-Expert Member

#2
Aug 8, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 1,780
Likes Received: 21
Trophy Points: 0
Niliposoma nilijua umekuja na suluisho kumbe bao tatizo lipo teh teh teh

Sasa hiyo sofware ni software gani au inaitwaje? ebu tuhabarishe mtaalam labda tunayo lakini hatujui kazi yake. Au waulize hao wanaobana inaitwaje kama wanabana hata jina basi ni wasanii usiwaamini.

3. Roulette

Roulette JF-Expert Member

#3
Aug 8, 2011
Joined: Dec 15, 2010
Messages: 5,618
Likes Received: 15
Trophy Points: 0
Amesema kama unaitaka m-pm akupe nyeti. solution anayo

4. Zing

Zing JF-Expert Member

#4
Aug 8, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 1,780
Likes Received: 21
Trophy Points: 0
Ana maana gani kuandika hivi
Au mimi ndio sielewi kusoma kiswahili

5. Uncle Rukus

Uncle Rukus JF-Expert Member

#5
Aug 8, 2011
Joined: Jun 16, 2010
Messages: 2,430
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Dah! :car: nilikuwa napita tu

6. Osaba

Osaba JF-Expert Member

#6
Aug 8, 2011
Joined: Apr 10, 2011
Messages: 1,718
Likes Received: 119
Trophy Points: 160
Mkuu hakuna anayebana ili njia ya kupata channel za dstv ni ngumu kidogo na inakubidi uwe na decoder maaluma yenye kutumia internet kwa ajili ya update za new codes wanazobadilisha hao dstv kila mara,so ******* uwe na internet ya uhakika kidogo kwa kifupi ni kazi.

7. KIBURUDISHO

KIBURUDISHO JF-Expert Member

#7
Aug 8, 2011
Joined: Mar 28, 2011
Messages: 953
Likes Received: 79
Trophy Points: 45

Hizo decoder zinapatikana Kenya kuna mselaangu anayo full channel zote free ila ni aghali zinauzwa sh elfu35 za kenya sawa na laki nne hivi za kitanzania. Mambo ya kunPM sitaki kwa sababu hao dstv wamekwishaweka watu wao humu kwa ajili ya kuwafatilia wachakachuaji wao kama unahitaji we nenda Kenya utazipata

8. killo

killo JF-Expert Member

#8
Aug 8, 2011
Joined: Jul 13, 2008
Messages: 393
Likes Received: 64
Trophy Points: 45
dah hiyo ipo siku nyingi ila hardwate zake ndiyo ghali sana. Ones budget will be not less than 400000tzs teba u dont even need internet just an additional hardware. The down side is when the code is changed it might take up to 5 to 14 days to come back online with a full package. Lastly it not worth it coz u not garanteed that you will have it for the whole month free, secondly, its illigal and you cna be sued,

9. Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa Platinum Member

#9
Aug 9, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 17,746
Likes Received: 7,006
Trophy Points: 280
elf 35 kama laki 6 hivi, si bora nieke dstv ndani? Then inaeza kukaa miez 6 dstv wakachange mambo ukaambiwa dikoda hii haifai kuna nyengine ya laki 5 tena

10. m

mbongopopo JF-Expert Member

#10
Aug 9, 2011
Joined: Jan 24, 2008
Messages: 1,112
Likes Received: 9
Trophy Points: 135

Hivi wewe unasoma kuelewa au? Mbona unamwambia uongo na ukweli upo hapa hapa?

Someni muelewe sio kudakia tu au kusoma juu juu bali mjibu kisicho

Sitaki sema hauelewi yanayoandikwa maana nadhani unaelewa.

11. Mufiyakicheko

Mufiyakicheko JF-Expert Member

#11
Aug 9, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 893
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Mkuu dongle bado nikamali unaweza angalia kwa mdaa tuu sijajuwa wewe kama unaujanja wa kuiwezesha isikatee kwa hiyo software

12. Osaba

Osaba JF-Expert Member

#12
Aug 9, 2011
Joined: Apr 10, 2011
Messages: 1,718
Likes Received: 119
Trophy Points: 160
Mkuu hiyo decoder mimi nimeanza kuitumia tangu nipo ughaibuni nilikuwa na mnigeria mmoja alikuwa ancheza na hizo code hadi nilipokuja nchini nilikuwa naitumia hadi leo bado naitumia kuna sehemu ya kuingia ethernet yani waya wa internet na siku hizi dstv wanachange code kwa masaa sio siku kama zamani mimi nikaona usumbufu nalipa kihalali ingawa inaumiza sana.

13. Wa Ndima

Wa Ndima JF-Expert Member

#13
Aug 9, 2011
Joined: Aug 13, 2010
Messages: 1,512
Likes Received: 39
Trophy Points: 145
Mtoa mada tafuta decoder/receiver aina ya TIGER zenji zinapatikana sana, zina USB kwa ajili ya modem na pia zina Ethernet port kwa ajili ya net zitakusaidia kukamata DSTV kwa msaada wa servers utakazozi-feed kwenye downloading. Hii pia inakubali kadi za tofauti inaweza kuwa zaidi ya moja.

Upo hapo?

14. K

Karzjr Member

#14
Aug 9, 2011
Joined: Jul 18, 2011
Messages: 22
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Washikaji w JF hata huku kwetu ilikuwepo moja hilikuwa inapiga sana d***tv lakini one week ilikata zote baadae jamaa wakasema ipo nyingine laki350000,duuu balaatupu nduguzangu

15. Mufiyakicheko

Mufiyakicheko JF-Expert Member

#15
Aug 9, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 893
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Hicho ulicho kiandika TIGER siyoo ataa kamakuna lisiva za kutumia net si hilo jina fatilia vizuli utupe data

Loading...